SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
🤣🤣 Ushawishi wa kukutishia kuchinjwa na kuunguzwa au sioHuyo Muhammad Asiyejua Kusoma Wala Kuandikwa Ndo Ametajwa Na Wasomi Wa Kikristo Kuwa Ni Mtu Wa Kwanza Mwenye Ushawishi Na Akili Duniani Nyuma Ya Yesu,issac Newton Na Gallileo Ww Mwenye Degree Ya Account Unamwita Muhammad Mjinga Seriously?
SijakuelewaAlikuwa maamuma.
🤣🤣🤣Dogo unajua maana ya primary source..Quran imeandikwa na kuundwa baada ya kifo Cha Muhammad asa Ina tofauti gani na bible...Ajue kusoma halafu aache injili takatifu ikaandikwe na watu wengine ?
Kama yu profesa anaandika thesisi yake iweje mwalimu aandikiwe tena sio kwa wakati. It is obvious hakujua kusoma.
Wewe inaweza kujubali fikra xako iandikiwe na wengine. Siku hizi mtu yoyote anaeandikiwa mambo yake huitwa kilaza.
Niwekee andiko hata moja tu alikoandika acha kuhepa point ya msingi. Mtu mkubwa kama yesu asiache andiko hata moja are serious. Hakuandika hata barua au kiujumbe kwa watu wake !
Kama huna ushahidi basi hoja yako sio ya ukweli, ukweli unathibitishwa na ushahidi.
Yesu amenukuliwa tu na watu. Muhamadi ni direct speech na hadithi zake ndio zilizonukuliwa.
Kwa usomi wa leo tukizingatia credibility na credential Quran ni credible zaidi. Maana imetoka kwenye primary source of information sio secondary sources kama Biblia.
Inasikitisha sanaHalafu huyo janjaweed mbona naye mweusi?. Muislamu anamuua mwislamu mwenzake
Coz hawawatambui kama waislamu wenzao....🤣muislam anasema dini Accord to definition yake anafosi dunia nzima imfate unategemea nini sasaKafiri ni mtu asie muislamu sasa mbona hata waislamu wenzao wanaua
Nimesema waafrika weusi wote wa bara la Africa hawana elimu bora kana mataifa ya kaskazini mwafrika. Hao wazuru wni wajinga kama wewe unaeamini ujinga.
Pambana utafute elimu mkuu, wakiristo wa bara la Africa hawajafika hata 1/4 ya uelewa/elimu ya WARABU au waislamu. Warabu ni kati ya Binadamu walio ishape dunia. Unaifahamu CAIRO university , Alexandria university unajua zilianza lini ?
Ungekuwa umesoma ungejua hisyoria ya elimu duniani ila wewe ni kilaza tu uliekaririshwa makaratasi.
Kama nyie wakristo mmesoma sana kwa nini mmeshindwa kuifanya Tanzania kuwa tajiri ?
Huo usomi upo kwenye nini ?
Kusaini hundi bandia na kuiibia serikali ?
Sudani ya Al bashir pamoja na vita zao hatujawahi kuizidi kiuchumi . Muwe na akili kama vyeti mlivyokusanya
Unaweza kucheka hao jamaa kila kundi wanahusisha na waislamu ,ila sisi tukiona mauaji hata kafanya mkristo wala hatutaji dini 😅😅😅wanajishtukia kinoma .Natamani kujua maana ya wanachomuambia huyo mwanamke kabla sijaongea kitu? Unaweza kuta ni mgogoro wa ardhi ila sababu ni kiarabu basi Waislam!!
Naona unakosa adabu we kijana.🤣🤣🤣Dogo unajua maana ya primary source..Quran imeandikwa na kuundwa baada ya kifo Cha Muhammad asa Ina tofauti gani na bible...
Nilikuuliza unajua Cairo na AlexandriaNimekuwekea ranking ya best university in Africa. Mbona hao waarabu unaowasifia wa North Africa vyuo vyao havishiki namba nzuri
🤣🤣🤣Rudi shule....Quran kaandika nani jibu swali ..if not Muhammad hiyo tayari ni secondary...ndo maana wakati wanaiunda walileta maandiko tofauti na kuyaweka sawa mengine yakatupwa pembeni coz kila mtu alikuja na yake kuhusu Muhammad something ambacho ni common kwa oral traditions...Quran ni secondary information kwa sababu haijaandikwa na msimulizi... imeandikwa na wasikilizaje Tena miaka baada ya kusimuliwa...🤣kuhusu Yesu usianze kurusha mipira Yesu nae hajawahi andika kitu ndio kwani nani kabisha..ndio gospels Zina mkanganyiko kwani nani hajui...🤣lakini kuhusu Quran kuwa primary source sijui imeshushwa kawadanganye watu ambao hawajui historia ya dini yenuNaona unakosa adabu we kijana.
Kwa nini unataka kolazimosha kitu ambacho hakipo. Nimekwambia weka andiiko lolote aliloandika Yesu unapiga piga chenga, kama umekosa basi piga kimya sio kuanza kuleta dharau.
Taarifa iliotoka moja kwa moja kwa muhamadi sio primary source. ? Kwa hio hizo taarifa za kina paulo ndio primary source eti ?
Quran na Bible ni tofauti kabisa. Bibe taarifa za mitume Quran imetoka kwa muhanad mwenyewe kwa kumsomesha mtu kwa mtu aya kwa aya nikta kwa nukta. Yesu angesomesha hivyo aya za kila mtume zingefanana nukta kwa nukta.
Iqra bism rabika al-Akramu kharakal -insan ......Hayo maneno yalivyotamkwa na Muhamad ndivyo ydlivyohubiriwa.
Hakuna kitabu cha fukani.
Bible unaweza kufananisha na Hadithi za mtume. Hizi kila mtu/ swahaba aliahadithia alivyomsikua na kumuona Muhamad akifanya, hivyo kila mmoja alieleza kadiri alivyojaaliwa, sawa na bible .
Bible wengine wakaenda kupata ufunuo, kama Yesu alitimiza mafundisho yake kwa nini mfuasi akapate ufunuo ? Ufunio wa Quran ni ufunuo wa Muhamad mwenyewe sio wa mtu wa pili.
Kiufipi huna ushahidi wa kuthibitisha Yesu alijua kusoma. Kwa mantiki hio hata mimi naweza sema Muhamad alijua kuandika japo sina ushahidi wa kuweka hapo.
Uthibitisho wa mtu kujua kuandika ni maandiko hakuna porojo sasa wewe naona unapiga porojo huna ushahidi wa nakala yoyote ilioachwa na bwana Yesu.
Quran ilikaririwa.Ni primary kwa maana aya zilitamkwa na Muhamad mwenyewe na zolikaririshwa. Hadithi na suna za mtume ndio secondary maana zilielezwa kadri maswahaba walivyojisikia.🤣🤣🤣Rudi shule....Quran kaandika nani jibu swali ..if not Muhammad hiyo tayari ni secondary...ndo maana wakati wanaiunda walileta maandiko tofauti na kuyaweka sawa mengine yakatupwa pembeni coz kila mtu alikuja na yake kuhusu Muhammad something ambacho ni common kwa oral traditions...Quran ni secondary information kwa sababu haijaandikwa na msimulizi... imeandikwa na wasikilizaje Tena miaka baada ya kusimuliwa...🤣kuhusu Yesu usianze kurusha mipira Yesu nae hajawahi andika kitu ndio kwani nani kabisha..ndio gospels Zina mkanganyiko kwani nani hajui...🤣lakini kuhusu Quran kuwa primary source sijui imeshushwa kawadanganye watu ambao hawajui historia ya dini yenu
Nilikuuliza unajua Cairo na Alexandria
Zilianzishwa lini ? umeleta kitu tofauti kabisa.
Wewe una amini wabantu sisi tuna elimu bora kuliko warabu ?
SA niliiweka exceptional ila sio wazuru. Wazuru hawana elimu na hawajawahi kuthibitisha kuwa na elimu bora.
Mbantu hajawahi kuwa na elimu bora kuliko mwarabu labda miaka 300 ijayo.
Kwa orodha yako hio una amini kabisa Ghana wana elimu bora kuliko Misri ?
Ukipewa chansi ukasome Ghana au Misri utaenda Ghana ?
Kama ipo hivyo lazima kuna shida mahala ni either hawajashiba vya kutosha maandiko ya kitabu chao (maana siamini km kinaweza kufundisha kuwatedea wengine unyama km huu) Au wanafuata mkumbo hawaelewi ideology ya hao magaidi.Ubaya ni kua baadhi ya waislam wanafurahia hayo matendo.
Hivyo vyuo hapo vimejengwa na wageni, mkuu uwe mkweli. Mzulu hawezi simamia Chuo kiwe no 1 Africa. Vyuo vingine hapo ni matawi ya vyuo vya west.Ubora wa elimu upo kwenye kuanzishwa lini ? Ama upo kwenye current position.
Chuo kikuu cha Timbuktu kimeanzishwa zamani kuliko Havard na oxford.
Ila bado havard ni bora kuliko timbuktu.
Nimeweka ranking ya mwaka 2023 vyuo vikuu bora africa.
Swali langu Vyuo vya waarabu unaowasifia wa north africa. Mbona havishiki namba nzuri. Vinapitwa na vyuo vya waafrica weusi ?
Tazama ranking tena
Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuvunjia heshima?Sijaiona "comment" yako nimeona umeniita, tatizo nini?