Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nashangaa sana replies za huyu jamaa, Sometimes ni bora kuwa mpenzi msomaji au mtu wa kutoa likes kama raraa reree na min -me
Huyo jamaa namuonaga kama ana matatizo ya akiliKuna mdau humu alikuuliza hivi ulijiunga JF kwa ajili ya kusema haya?
Umeniudhi kusema Yanga bingwa
Hana shida, kafungwa speed governor na huyo anayemuandisha chini. Akiandika vibaya anaenda kugombezwaHuyo jamaa namuonaga kama ana matatizo ya akili
Wivu tuHana shida, kafungwa speed governor na huyo anayemuandisha chini.
Kama nimekuudhi kwa kuongea ukweli...Tena ukweli tupu..nisamehe🥲Umeniudhi kusema Yanga bingwa
Mwasibu uko wapi......Umeniudhi kusema Yanga bingwa
Akijibu ni tag😅😅Huwa nashangaa sana replies za huyu jamaa, Sometimes ni bora kuwa mpenzi msomaji au mtu wa kutoa likes kama raraa reree na min -me
Wivu nakuonea wewe na Vincenzo Jr naona mnapigiana miseleWivu tu
Piga ile voda inaishia na 283Mwasibu uko wapi......
JinyongeWivu nakuonea wewe na Vincenzo Jr naona mnapigiana misele
Sasa nini kilimpata...Inasemekana zamani hakuwa hivi, sijui nini kilikukuta
Inasemekana alidakwa akitongoza humu, akaachwa. Akalia harudii tena. Masharti ikawa kila anachoandika lazima ampe nakalaSasa nini kilimpata...
Huyu kweli ni mwanaume rijali....
??
Huwa najiuliza maswali mengi Kila nionapo comment zake...
💔
Povu la nini we mbwiga? Mwenzako anakula mpunga mrefu, wewe endelea tu kubwabwaja.the new young Africans graphic designer should be fired.
what is this design?? nani ana ajili hawa watu???
angalia graphics zake.
big brand what Is this??
View attachment 3073464
Alidakwa na nani...?Inasemekana alidakwa akitongoza humu, akaachwa. Akalia harudii tena
Umemaliza, piga mstariAlidakwa na nani...?
Si ana mtu wake huyu anaye m-tag Kila comment..?
Khee😅Umemaliza, piga mstari