Graphics designer mpya wa Yanga ni tapeli, hajui kudesign wala kuedit

Graphics designer mpya wa Yanga ni tapeli, hajui kudesign wala kuedit

Kumbe hii pisi ilikuwa ni ya huyo bwana mdogo ?? Aisee kule kwenye Uzi wa Picha za warembo Jamaa alisemaga kwamba ameungua sasa sielewi hapo...... Mambo yao nawaachia wenyewe.
🤣🤣🤣
Aibu sana mbona humu tunajuana na Members kibao na namba za simu tunazo lakini hatuna ujinga kama huu, pisi ilibadilisha mpaka jina na yule mwamba sijui alikuja na I'd nyingine?
 
Kama sio utoto basi nafikiri hawakupata muda wa kutathmini madhara yake. Faragha ni jambo muhimu sana, unaona hata mshikaji hayupo huru kutoa maoni anaishia tu kusema "waachie wenyewe".
Mkuu hii ina leta shida kwa sababu huyu Ke alishawahi kuwa na njemba humu na walikuwa wana michezo hii baadae walivyozinguana ilikuwa ni aibu tu na bado hajifunzi aisee
 
Kusini kwetu huku bwan ndo usiseme 😆
Nami Kwa mara ya kwanza nilisikia hilo neno nikiwa huko Kusini pia

Usiniambie upo wanapokula Chamaki Nchanga😜🏃🏃🏃
 
Nami Kwa mara ya kwanza nilisikia hilo neno nikiwa huko Kusini pia

Usiniambie upo wanapokula Chamaki Nchanga😜🏃🏃🏃
Hapana sio,🤣🤣kusini kubwa bwan,, kamwene
 
Hapana sio,🤣🤣kusini kubwa bwan,, kamwene
Kumbe upo hiyo mitaa wanaokula Walinzi wetu sio 😅😅

Nitapita Siku Moja uniandalie supu ya moto moto ninywe 😜
 
Back
Top Bottom