Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
🤣🤣🤣Kumbe hii pisi ilikuwa ni ya huyo bwana mdogo ?? Aisee kule kwenye Uzi wa Picha za warembo Jamaa alisemaga kwamba ameungua sasa sielewi hapo...... Mambo yao nawaachia wenyewe.
Aibu sana mbona humu tunajuana na Members kibao na namba za simu tunazo lakini hatuna ujinga kama huu, pisi ilibadilisha mpaka jina na yule mwamba sijui alikuja na I'd nyingine?