OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Lini nimesema uongo mkuuLeo imesema ukweli CPA uchwara SUNZU BOBAN.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini nimesema uongo mkuuLeo imesema ukweli CPA uchwara SUNZU BOBAN.
Wakati najifikiria, ninunulie ya yanga kwanza🤣Kuwa na imani na Wazee 🤗
Hivi ndiyo ulinambia nikikununulia jersey ya Simba utahamia kuishabikia eeh? 😜
Hahaha.........unataka kuniletea janja janja hadi Mimi Babu yako 😜Wakati najifikiria, ninunulie ya yanga kwanza🤣
Basi niandalie supu ya Kuku, nakuja nao kutoka Singida 🤗Hata kushika tu siwezi naogopa,,we babu vipi bwan
Babu acha fix, nataka ile ya njano na nyeusi. Fanya mambo then niendelee kutafakari😜Hahaha.........unataka kuniletea janja janja hadi Mimi Babu yako 😜
Shaka ondoa MjukuuBabu acha fix, nataka ile ya njano na nyeusi. Fanya mambo then niendelee kutafakari😜
Huko siji babu. Nizikute kwa bibi.Shaka ondoa Mjukuu
Si unajua pa kunipata pale tunapochezaga bao na Wazee wenzangu 🤗
Hapo umenena aseeee,,lini unakuja babu😌Basi niandalie supu ya Kuku, nakuja nao kutoka Singida 🤗
Nakuja mwishoni mwa Mwezi huu Mjukuu, utanipa namba ya balozi wa nyumba kumi wenu maana nimesikia hapo kwenu mtandao huwa unasumbua sana kupiga simu 🤗Hapo umenena aseeee,,lini unakuja babu😌
Yake ma Income Statement, Cash Flow Statement na Balance Sheet ya mwamba Aziz Ki.Lini nimesema uongo mkuu
😅😅😅😅 umenifamya mpaka napaliwa kwa kuchekaKama sio utoto basi nafikiri hawakupata muda wa kutathmini madhara yake. Faragha ni jambo muhimu sana, unaona hata mshikaji hayupo huru kutoa maoni anaishia tu kusema "waachie wenyewe".
"Yang Z" haina maana. Angeandika "Young" au "Yanga"Sahihisha tukuelewe makosa yako wapi