eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Tukisema Ulaya na Nchi za magharibi ujasusi wao ni wakiwango cha kutisha muwe mnaamini.
Ktk hili sitaki kuamini hata Tanzania huenda tumeshapigwa japo yaweza kuwa top secret.
Siku chache baada ya Mchina kujifanya anapiga ban iphone majasusi wameamua kukinukisha kwa kuvujisha taarifa za Siri jinsi Taifa Hilo linavyo uza duniani silaha fake kwa gharama kubwa wakati mataifa hayo yakibaki na silaha mbovu.
Huu ni ushahidi wakutisha ambao majasusi walikaa kimya watu wapigwe Kisha wake wakinukishe ila China alipe mara elfu.
Endeleeni wa bongo wa Buza kumsifia mchina na Mrusi ila tutaelewana baada yakuji elewa.
Nisiandike sana bofya below ukaone China alicho watenda.
View attachment 2748411
Mkuu TumainiEl wewe ni mjanja sana na una uwezo mkubwa wa kupambanua mambo. Hizo zinazorushwa ni propaganda za wamagharibi ili kudhoofisha ushindani wa China. Maana wameona kwa mbinu zote hawamuwezi, wameamua kuwa waongowaongo. Maendeleo ya China yanawanyima usingizi. Maana China has created a strong sphare of influence across the globe. If you'd not drink it, you will eat it, if not that, at least to shower it. China is inevitable is everywhere.
Wamagharibi wameshindwa vitu vingi sana, na chamwisho ambacho kitawasumbua ni huo wanaouita uhuru wa wote, demokrasia. Wananchi ndiyo watakaoangusha serikali za magharibi. Imeanzia ufaransa baada ya uporaji wao kwa nchi za Sahel na Afrika Magharibi kwa ujumla kuwekwa.