G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa.
1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida.
2. Lengo la kesi ni kugawa mali kati ya Chadema bara na Chadema visiwani au kuna watu binafsi wanalengwa kunufaika? Hii naamini haipo maana mali ni za taasisi ya Chadema.
3. Waliofungua kesi wamedumu kwenye uongozi miaka 15 na walikuwa sehemu ya maamuzi. Je hii haiwafungi?
4. Lengo hasa ninataka kujua. Je, Chadema itaamriwa kuzingatia kigezo cha usawa au wataamriwa walipe kiasi fulani kwenda Zanzibar? Na hicho kiasi kitaenda kufanya nini? Kujenga ofisi za chama pamoja na kugharamia operesheni za chama?
5. Ni ni ipi hasa faida ya wanachama wa kawaida kufungua kesi? Watanufaika na nini?
Salary Slip Pascal Mayalla imhotep JokaKuu Mshana Jr
Na wengine karibuni