Great thinkers jitokezeni tujadili lengo la kesi ya mgao wa mali dhidi ya CHADEMA. Waliofungua kesi watanufaika na nini ikiwa siyo viongozi?

Great thinkers jitokezeni tujadili lengo la kesi ya mgao wa mali dhidi ya CHADEMA. Waliofungua kesi watanufaika na nini ikiwa siyo viongozi?

Chadema walifanyia fujo Chauma
Hakuna chadema aliyefanya fujo. Hawo ni vijana waliopangwa na ccm ili kufanya ujinga huo na kupewa nguo za chadema ili ionekane chadema ndio waliofanya hivyo. Ccm kila sehemu mnafanya hujuma.
 
Huyo kenge mfungua kesi alikuwa enzi zake anazurula na mbowe bara instead zanzibar

Leo kapigwa za uso eti anadai ,kaliolake
 
Back
Top Bottom