Great thinkers jitokezeni tujadili lengo la kesi ya mgao wa mali dhidi ya CHADEMA. Waliofungua kesi watanufaika na nini ikiwa siyo viongozi?

Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa.

1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida.

2. Lengo la kesi ni kugawa mali kati ya Chadema bara na Chadema visiwani au kuna watu binafsi wanalengwa kunufaika? Hii naamini haipo maana mali ni za taasisi ya Chadema.

3. Waliofungua kesi wamedumu kwenye uongozi miaka 15 na walikuwa sehemu ya maamuzi. Je hii haiwafungi?

4. Lengo hasa ninataka kujua. Je, Chadema itaamriwa kuzingatia kigezo cha usawa au wataamriwa walipe kiasi fulani kwenda Zanzibar? Na hicho kiasi kitaenda kufanya nini? Kujenga ofisi za chama pamoja na kugharamia operesheni za chama?

5. Ni ni ipi hasa faida ya wanachama wa kawaida kufungua kesi? Watanufaika na nini?

Salary Slip Pascal Mayalla imhotep JokaKuu Mshana Jr

Na wengine karibuni
Huo mgawanyo ni kwa mujibuwa katiba ya CHADEMA au katiba ya jamuhuri?
 
Ndio maana wameenda mahakamani ili mahakama itoe tafsiri. Je, ni vibaya kuomba tafsiri ya mahakama?
Sasa bodi ya wadhamini si Maulida Komu alikua mjumbe sasa kama yeye hakuhakikisha mali zinagawiwa sawa anafunguaje kesi?

Sawa huyu Said Iss Mohammed na Salum Mwalimu walikua makamu mwenyekiti na naibu katibu mkuu respectively, sasa wao walipokua viongozi na watendaji waandamizi walihakikisha vipi mali za chadema zinagawanywa kwa usawa au wameona hiyo changamoto baada ya kutochaguliwa tena?

Hawa jamaa wanatumika tu, maana kama wanalalamika ina maana Mbowe ndio wanamtuhumu mind you hao wote wawili ni team mbowe sasa sijui wanachotafuta ni nini.
 
Kwaiyo tunakubaliana kuwa chadema imekufa,maana hapo zuio hakuna Tena mikutano na chauma ndo watashika hatamu
Chadema haikufanya mikutano miaka kama 4 enzi za JPM na hakikufa sembuse zuio la jaji wa mchongo?

Ingekua nchi serious huyo jaji asingeona jua tena sijui kwanini tunawadekeza sana hawa CCM. Kule Kenya walikua wana deal na hawa watu mtaani ndio maana huwezi ona wapinzani wanawekwa ndani hovyo.
 
Iko hivi
*Mwenyekiti mpaka sasa yuko mahabusu
*Baadhi ya viongozi wamepotezwa
*Kuibuka kwa G55
*Msajiri kuzuia luzuku
*Kuna kesi mahakamani iliyozuia shughuli za chama.
*Mliwaona wale vijana waliovamia mkutano wakiwa na mawe na visu?
COINCIDENCE?
 
Chadema haikufanya mikutano miaka kama 4 enzi za JPM na hakikufa sembuse zuio la jaji wa mchongo?

Ingekua nchi serious huyo jaji asingeona jua tena sijui kwanini tunawadekeza sana hawa CCM. Kule Kenya walikua wana deal na hawa watu mtaani ndio maana huwezi ona wapinzani wanawekwa ndani hovyo.
Ninachotaka kujua hao waliofungua kesi watanufaika na nini?
 
Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa.

1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida.

2. Lengo la kesi ni kugawa mali kati ya Chadema bara na Chadema visiwani au kuna watu binafsi wanalengwa kunufaika? Hii naamini haipo maana mali ni za taasisi ya Chadema.

3. Waliofungua kesi wamedumu kwenye uongozi miaka 15 na walikuwa sehemu ya maamuzi. Je hii haiwafungi?

4. Lengo hasa ninataka kujua. Je, Chadema itaamriwa kuzingatia kigezo cha usawa au wataamriwa walipe kiasi fulani kwenda Zanzibar? Na hicho kiasi kitaenda kufanya nini? Kujenga ofisi za chama pamoja na kugharamia operesheni za chama?

5. Ni ni ipi hasa faida ya wanachama wa kawaida kufungua kesi? Watanufaika na nini?

Salary Slip Pascal Mayalla imhotep JokaKuu Mshana Jr

Na wengine karibuni
Mahakama ilishatoa ruling ya pingamizi hilo...

Acha hii ibaki kuwa tamanio lako tu lakini kisheria ni impractical ktk hatua hii...

Unachoweza kufanya kwa sasa, waambieni wanasheria wenu wapeleke pingamizi kuomba tena hili kwa mujibu wa sheria...

By the way, wewe unawaza kupelekwa au kutopelekwa mahakamani. Wenzako huko wanawaza watumie mbinu na watoe sababu gani kuiondoa kesi hiyo mahakamani kwa sababu, hiyo kesi wanayoita kesi, haiwezi kusimama kusheria, hawawezi kuitetea..
 
Chama ni kama binadamu, akifa mali zake zinagawanwa, chadema imekufa
Lakni bado mnaogopa no reform no election. Chama kilichokufa kinaachwa ili kife haswa na sio kutumia vyombo vya dola kukidhibit. Juzi mmetuma watu wakafanye fujo ila nimefurahi jamaa alivyopigwa na nilitaka wamtoe macho yote mawili ili afaidi buku tano aliyolipwa
 
Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa.

1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida.

2. Lengo la kesi ni kugawa mali kati ya Chadema bara na Chadema visiwani au kuna watu binafsi wanalengwa kunufaika? Hii naamini haipo maana mali ni za taasisi ya Chadema.

3. Waliofungua kesi wamedumu kwenye uongozi miaka 15 na walikuwa sehemu ya maamuzi. Je hii haiwafungi?

4. Lengo hasa ninataka kujua. Je, Chadema itaamriwa kuzingatia kigezo cha usawa au wataamriwa walipe kiasi fulani kwenda Zanzibar? Na hicho kiasi kitaenda kufanya nini? Kujenga ofisi za chama pamoja na kugharamia operesheni za chama?

5. Ni ni ipi hasa faida ya wanachama wa kawaida kufungua kesi? Watanufaika na nini?

Salary Slip Pascal Mayalla imhotep JokaKuu Mshana Jr

Na wengine karibuni
Watafaidika na kumuwezesha mtu Fulani kuchaguliwa, bila uwepo kwa upinzani wa CDM
 
Lakni bado mnaogopa no reform no election. Chama kilichokufa kinaachwa ili kife haswa na sio kutumia vyombo vya dola kukidhibit. Juzi mmetuma watu wakafanye fujo ila nimefurahi jamaa alivyopigwa na nilitaka wamtoe macho yote mawili ili afaidi buku tano aliyolipwa
Chadema walifanya fujo mkutano wa chauma Serengeti, kumbe mkuki wa nguruwe eti? Halafu hiyo kesi imefunguliwa na chadema wenzako, akili zenu za punda
 
Sasa bodi ya wadhamini si Maulida Komu alikua mjumbe sasa kama yeye hakuhakikisha mali zinagawiwa sawa anafunguaje kesi?

Sawa huyu Said Iss Mohammed na Salum Mwalimu walikua makamu mwenyekiti na naibu katibu mkuu respectively, sasa wao walipokua viongozi na watendaji waandamizi walihakikisha vipi mali za chadema zinagawanywa kwa usawa au wameona hiyo changamoto baada ya kutochaguliwa tena?

Hawa jamaa wanatumika tu, maana kama wanalalamika ina maana Mbowe ndio wanamtuhumu mind you hao wote wawili ni team mbowe sasa sijui wanachotafuta ni nini.
Nikuulize swali?
 
Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa.

1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida.

2. Lengo la kesi ni kugawa mali kati ya Chadema bara na Chadema visiwani au kuna watu binafsi wanalengwa kunufaika? Hii naamini haipo maana mali ni za taasisi ya Chadema.

3. Waliofungua kesi wamedumu kwenye uongozi miaka 15 na walikuwa sehemu ya maamuzi. Je hii haiwafungi?

4. Lengo hasa ninataka kujua. Je, Chadema itaamriwa kuzingatia kigezo cha usawa au wataamriwa walipe kiasi fulani kwenda Zanzibar? Na hicho kiasi kitaenda kufanya nini? Kujenga ofisi za chama pamoja na kugharamia operesheni za chama?

5. Ni ni ipi hasa faida ya wanachama wa kawaida kufungua kesi? Watanufaika na nini?

Salary Slip Pascal Mayalla imhotep JokaKuu Mshana Jr

Na wengine karibuni
Chakushangaza walalamikaji wao ndio waliokua viongozi hapa issue nikushindwa uchaguzi tu qmmk wanazungukia mbali tu
 
Usiende mbali wataalam wa sheria watueleze ni sheria/kanuni ipi inayovitaka vyama vya siasa kuwa na mgawanyo sawa?. Hili jambobhata katika kanuni za vyama vya saisa halipo na halijawahi kutokea!!.
 
Chadema walifanya fujo mkutano wa chauma Serengeti, kumbe mkuki wa nguruwe eti? Halafu hiyo kesi imefunguliwa na chadema wenzako, akili zenu za punda
Hakuna aliyefanya fujo hizo ni propaganda zilizofanywa na ccm ili ionekane wahusika ni chadema.
 
Hata Wakiamua kuchukua Kila kitu Cha Chadema Leo....!

Then kesho Heche akasema tu, wametunyang'anya Kila kitu...!
Tunataka office ya ghorofa kama Makao Makuu.
Tunataka Pick up 10 za Kampeni, tunataka hiki ama hiki, Ukweli ni kwamba Wananchi watachangia Kwa Wingi.

Viongozi wanaofanya Maamuzi huko Kwa Watawala, Akili zao, Mawazo Yao, uwezo wao wa kuongoza upo chini sana, na utaweza kuona uwezo wao wa kufikiri hata Kwa aina ya michango wanayotoa Bungeni.

Ndo maana hata taassi nyingi za Serikali hazifanyi Vizuri...... Kuna Maamuzi wanafanya mpaka Mimi Raia wa kawaida tu naona aibu.
 
Back
Top Bottom