Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hivi unalipiaaa
Hatua ya mwanzo huwa haina malipo, labda gharama pekee ni kwenye kupiga picha ya pasipoti yenye vigezo vinavyotakiwa (background nyeupe, isiwe na kivuli, upana na urefu linganifu nimesahau vipimo kama sijakosea ni 600*600 pixels)...
Hiyo hatua ya mwanzo ndio muhimu na ndio ngumu kwa sababu hapo ndio kuna raia wengi...
Ukifika mwezi Oktoba, ukiingia ubalozi wa Marekani wataweka maelekezo kwa waombaji wa mwaka huu...