Upo sahihi; niliposema "nafasi" sikumaanisha "kada fulani" bali "specific sections"! Kwa mfano, unaweza kuingia hata jeshini lakini unaweza kuwa restricted kwenye baadhi ya nafasi ambazo ni very sensitive! Unajua mtu hata kama upo nchi kwako kabisa, kuna baadhi ya nafasi ni lazima wakuchunguze sana!!Safi sana mkuu. Umetoa details za kutosha. Nimejifunza mengi.
Ila hata baadhi ya nafasi za usalama wanachukua hasa za jeshi. Kigezo uwe na green card au uraia na uwe chini ya miaka 35. Kama umri umezidi 35 na si zaidi ya 37 ni hadi uombewe kibali maalum. Wao jeshi linaajiri kila siku.