Hivi unalipiaaa
na ukipata hiyo hati ya uraia wanakulipia ada ya kusafiri kwenda huko marekani? na vipi ukifika accomodation za maisha wanakup au unashinda uraia tu alafu unaubeba msaraba wako
Mkuu hivi hakuna uwezo wa mtu kuomba mara nyingi kwa wakati mmoja kwa kubadilisha badilisha majina kweli.Hatua ya mwanzo huwa haina malipo, labda gharama pekee ni kwenye kupiga picha ya pasipoti yenye vigezo vinavyotakiwa (background nyeupe, isiwe na kivuli, upana na urefu linganifu nimesahau vipimo kama sijakosea ni 600*600 pixels)...
Hiyo hatua ya mwanzo ndio muhimu na ndio ngumu kwa sababu hapo ndio kuna raia wengi...
Ukifika mwezi Oktoba, ukiingia ubalozi wa Marekani wataweka maelekezo kwanwaombaji wa mwaka huu...
Huwa inaanza OctoberMwakaa huu isha chezwa!?
Jazia nyama kidogo mkuu.
Afu mtujuze jinsi ya kucheza
Kwa kifupi kabisa, Green Card Lottery, formally DV Lottery ni bahati nasibu inayoendeshwa na serikali ya Marekani ambapo kila mwaka, inachagua applicants 50K randomly kutoka sehemu mbalimbali duniani, na hawa applicants hupewa Green Card. Ukipata Green Card unakuwa ni kama Mmarekani tu, kwa sababu unakuwa na haki karibu zote wanazopata raia wa Marekani. Linapokuja suala la ajira, unakuwa na haki ya kufanya kazi hadi serikalini EXCEPT, kwenye nafasi nyeti hususani za usalama!Hivi unalipiaaa
Kwahiyo utakuwa na passport nyingi vilevile, au?!Mkuu hivi hakuna uwezo wa mtu kuomba mara nyingi kwa wakati mmoja kwa kubadilisha badilisha majina kweli.
Mkuu hivi hakuna uwezo wa mtu kuomba mara nyingi kwa wakati mmoja kwa kubadilisha badilisha majina kweli.
Hii Passport inapatikanaje na kwa bei ganiiHatua ya mwanzo huwa haina malipo, labda gharama pekee ni kwenye kupiga picha ya pasipoti yenye vigezo vinavyotakiwa (background nyeupe, isiwe na kivuli, upana na urefu linganifu nimesahau vipimo kama sijakosea ni 600*600 pixels)...
Hiyo hatua ya mwanzo ndio muhimu na ndio ngumu kwa sababu hapo ndio kuna raia wengi...
Ukifika mwezi Oktoba, ukiingia ubalozi wa Marekani wataweka maelekezo kwanwaombaji wa mwaka huu...
Hahahaa kuna mjamaa flani kutoka Nigeria walinipaga hilo wazo miaka ya nyuma kidogo bahati mbaya Trump akatupa ban by the way bora niendelee Kuappaly mara Moja tu kama navyofanyaga miaka yote.ππ
Utajisababishia kuwa 'banned' tu mkuu...
Maana hatua ya mwanzo unaweka picha yako halisi ya pasipoti...
Sasa sijui kila mara utapokuwa ukibadilisha majina utakuwa unaweka picha za watu wengine???
PoleniSikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka
Wapenda kitonga wataishia kupelekewa moto tuuuu
Hii Passport inapatikanaje na kwa bei ganii
Hii tutaruka nayo aseeHuwa inaanza October
Kwa kifupi kabisa, Green Card Lottery, formally DV Lottery ni bahati nasibu inayoendeshwa na serikali ya Marekani ambapo kila mwaka, inachagua applicants 50K randomly kutoka sehemu mbalimbali duniani, na hawa applicants hupewa Green Card. Ukipata Green Card unakuwa ni kama Mmarekani tu, kwa sababu unakuwa na haki karibu zote wanazopata raia wa Marekani. Linapokuja suala la ajira, unakuwa na haki ya kufanya kazi hadi serikalini EXCEPT, kwenye nafasi nyeti hususani za usalama!
Hulipii hata sent 5, lakini ukishinda, ni wajibu wako kulipia makaratasi ya hapa na pale lakini sio ghali sana! Aidha suala la utafikaje US, na utaenda kuishi wapi na vipi ni wajibu wako mwenyewe! Mwaka jana waliingiza utaratibu mpya kwamba kama unataka kuomba basi ni lazima uwe na passport. Kama tayari una passport, basi subiri October 07, kisha ingia hapa kwa ajili ya kujiandikisha! Condition nyingine (kama haitabadilik) unatakiwa kuwa na angalau diploma!
Sikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka
jangwani πππGreen card hata Kariakoo zinapatikana tena kwa pesa kidogo tu.
Ataenda kuteseka sanaSikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka
Tutume hela kiasi gani ili tupate Green Card?Sikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka