Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

Mkuu hizi East Africa temporary passport zinaruhusiwa kwa sisi tusiokuwa na passport kubwa ?
 
Mkuu hizi East Africa temporary passport zinaruhusiwa kwa sisi tusiokuwa na passport kubwa ?
Kwa kweli sina uhakika. Hata hivyo kumbuka kwamba, pale hutaambiwa ku-upload possport bali utaambiwa ku-upload number ya passport. Sasa sina uhakika kama system inaweza kutofautisha hizo namba!
 
Gharama za kupiga picha zipoje
Sorry, sijui ulishapata jibu! Kama bado, basi pale Haidary Plaza inakuwa Sh 5000 kwa copy 4. Hakikisha unaenda na flash or anything kitakachokuwezesha kubeba soft copy ya pic yako
 
Unajilipia mwenyewe...

Kawaida green card wanashinda watu wenye kada zao za kazi, elimu, kipaji, n.k na sio hohehae tu, sababu ukifanikiwa kupita hatua zote unatarajiwa kuomba kazi huko kwao na kupata haki zote za kuishi kama raia...
Kwa iyo Mimi mziba pancha za baiskeli siwezi kupata?
 
Kama huna taaluma itazame tu kwa macho
Na kuna taaluma ambazo unakubaliwa kirahisi kuishi USA
 
Vipi majibu yenu yatatoka lini wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…