Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

Nchi yetu ni nzuri sana, wazungu huwa wanatamani sana kubaki Africa. Sema tu mambo ya Visa na work permit huwa ni kikwazo kwao. Serikali zetu zingeondoa Visa na Work permit wangejaa sana hapa Bongo. Kuna makampuni mengi huwa yanawafanyakazi wa kigeni frustration zao ni pale work permit zinapoisha na kutakiwa kuondoka nchini. Nimekutana nao wengi na ninafahamu hili.
hivi yule dogo aliyepigwa ban kuingia US vipi amisamehewa au ndo imitoka?
 
Mwaka huu lazima nijaribu bahati yangu ya kwenda kwa Biden sikubali kupitwa wallah I wi try my luck oooh. Wana JF mniombee please nibahatike na mimi
vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Huwa inaanza October

Kwa kifupi kabisa, Green Card Lottery, formally DV Lottery ni bahati nasibu inayoendeshwa na serikali ya Marekani ambapo kila mwaka, inachagua applicants 50K randomly kutoka sehemu mbalimbali duniani, na hawa applicants hupewa Green Card. Ukipata Green Card unakuwa ni kama Mmarekani tu, kwa sababu unakuwa na haki karibu zote wanazopata raia wa Marekani. Linapokuja suala la ajira, unakuwa na haki ya kufanya kazi hadi serikalini EXCEPT, kwenye nafasi nyeti hususani za usalama!

Hulipii hata sent 5, lakini ukishinda, ni wajibu wako kulipia makaratasi ya hapa na pale lakini sio ghali sana! Aidha suala la utafikaje US, na utaenda kuishi wapi na vipi ni wajibu wako mwenyewe! Mwaka jana waliingiza utaratibu mpya kwamba kama unataka kuomba basi ni lazima uwe na passport. Kama tayari una passport, basi subiri October 07, kisha ingia hapa kwa ajili ya kujiandikisha! Condition nyingine (kama haitabadilik) unatakiwa kuwa na angalau diploma!
Sawa ngoja tujiandae
 
Mwaka huu lazima nijaribu bahati yangu ya kwenda kwa Biden sikubali kupitwa wallah I wi try my luck oooh. Wana JF mniombee please nibahatike na mimi
I wish you all the best, tena nitakukumbusha!! But kuanzia mwaka jana ni lazima uwe na passport! Kama unayo, well and good, kama huna, anza na issue ya passport mapema!
 
I wish you all the best, tena nitakukumbusha!! But kuanzia mwaka jana ni lazima uwe na passport! Kama unayo, well and good, kama huna, anza na issue ya passport mapema!
unikumbushe pia mtaalam 🙏🏾
 
Nilikiwa najirani watatu walifanikiwa enzi zile kuishi USA kwa green card.. Ilisitishwa nafikili Baiden kairudisha..
 
Hivi hii kitu Trump si alitupiga pin?
 
Back
Top Bottom