Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,615
- 3,205
Dah kuna jamaa yangu yupo California anafanya kazi mgawahi pekee, mwamba analipwa elf52 yaani 52,000/= kwa lisaa, jamaa anaforce overtime anakunja adi laki nane per day na risit zake za malipo uwa ananionesha yaan 800,000/day. jama uku amefanya maendeleo makubwa sana amewajengea wazaz wake mjengo wa nguvu na harrier iko nje, nayey amejenga nyumba mbili na anagari mbili, Prado tx na Crown zipo tu wanatumia madogo, fursa zilipo kimbilia.