Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi wa mwamba wanaishi nyumba ya ghorofa ngapi?Umaskini mbaya Sana
Kuna watu wanaosha vizee USA lakini nyumbani wamejenga ghorofa moja ,plus usafiri tena sio Toyota wana range kuna koo zingine hawajawahi hata kuingia kwenye range hata kumiliki Tu
Halafu MTU yupo bongo ana miaka 50 hata hata pa kukaa KAZI anatapeliwa na kalinda ni heri watu waombe green card kama akifanikiwa ataleta hela nyumbani kuwekeza
We jamaa ni mnafiki..Wazazi wa mwamba wanaishi nyumba ya ghorofa ngapi?
Jamaa anatambaa na fursa hii ya kuchanja 20,000/= kumsaidia ku-apply imemshushia thamani zaidi. Kama angekua kweli ana Nia ya nn kuokota senti za vijana?Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
Huruhusiwi kupiga kuraHivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?
Hizi ndo information huyo jamaa hasemi.Yeye anasifia Mwanzo-mwisho as if ukishashinda bhaasi wewe utabebwa Kama gunia direct to US.Watu wengi wanadhani ukishashinda lottery unapewa green card! Thubutu😁 hapo katikati kuna documents nyingi utatakiwa kutuma na pia kuna interview, kwenye interview utalazimika kuelezea ukienda marekani utaishi wapi na utaingizaje kipato, lasivyo mchezo umeishia hapo.
Tena interview kama ya kuingia peponi. Na kuna malipo ya hizo form wanazokupa ujaze huko mbeleni. Mambo sio marahisi hata kidogo. Wengi hawavukagi interview! Halafu kosa dogo kama la kukosea kujaza taarifa kwenye form ushatolewa kwenye mchujo, au fomu kutowafikia kwa wakati.Hizi ndo information huyo jamaa hasemi. Yeye anasifia Mwanzo-mwisho.
Wakati huo jamaa ashavuna pesa yako karudi zake USTena interview kama ya kuingia peponi. Na kuna malipo ya hizo form wanazokupa ujaze huko mbeleni. Mambo sio marahisi hata kidogo. Wengi hawavukagi interview!
Jamaa simlaumu anatafuta ugali haha.Wakati huo jamaa ashavuna pesa yako karudi zake US
US citizen Tena anatafuta ugali kwa Wanyonge? Ndo ujue maisha kule si rahisi kama anavyohubiriJamaa simlaumu anatafuta ugali haha.
Wamuulize Le mutuzUS citizen Tena anatafuta ugali kwa Wanyonge? Ndo ujue maisha kule si rahisi kama anavyohubiri
Ha ha ha Ngumbaru US Lazima ukaeWamuulize Le mutuz
Mkuu inaonekana huyu jamaa hamumfuatilii kwa makini sijui huwa mnahisi anajulikana hapa bongo tuWatu wengi wanadhani ukishashinda lottery unapewa green card! Thubutu[emoji16] hapo katikati kuna documents nyingi utatakiwa kutuma na pia kuna interview, kwenye interview utalazimika kuelezea ukienda marekani utaishi wapi na utaingizaje kipato, lasivyo mchezo umeishia hapo.
oi natak kiwanja cha million 2 marekan nawez nkapataVijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
Hayo yote alishaelezea tafuteni videos zake alooTena interview kama ya kuingia peponi. Na kuna malipo ya hizo form wanazokupa ujaze huko mbeleni. Mambo sio marahisi hata kidogo. Wengi hawavukagi interview! Halafu kosa dogo kama la kukosea kujaza taarifa kwenye form ushatolewa kwenye mchujo, au fomu kutowafikia kwa wakati.
Wale ma counsellor wao sijui wamesomea psychology, kuna namna ukisema uongo chances za kujulikana ni 98%. All in all sio process rahisi lakini inawezekana pia.Mkuu inaonekana huyu jamaa hamumfuatilii kwa makini sijui huwa mnahisi anajulikana hapa bongo tu
Mbona alishaelezea sana kwamba kwenye interview ukiulizwa swali kama utaingizaje kipato unaweza taja kazi yoyote halali hata kama utadanganya mfano unaweza hata kusema nitaenda kujiunga na jeshi la marekani hawatajali sababu baada ya hapo hawatakufuatilia kama kweli utaenda kufanya hiyo kazi au la
Kuhusu kuulizwa utaishi wapi alisema pia unaweza taja state yoyote au pia kwenye kutafuta host unaweza tafuta mtanzania mwenzio aishiye huko ambako mitandaoni utawapata wengi tu kisha mkubaliane kwamba yeye ndiyo aplay kama host wako hata kama hautaenda kufikia kwake hawajali
Ndo ujue fursa huko US zimejamba. Na Masters na uraia bado anakuja kupambania bongo. Chezeya mzungu weweJamaa simlaumu anatafuta ugali haha.