Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Hivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?
 
Umaskini mbaya Sana
Kuna watu wanaosha vizee USA lakini nyumbani wamejenga ghorofa moja ,plus usafiri tena sio Toyota wana range kuna koo zingine hawajawahi hata kuingia kwenye range hata kumiliki Tu
Halafu MTU yupo bongo ana miaka 50 hata hata pa kukaa KAZI anatapeliwa na kalinda ni heri watu waombe green card kama akifanikiwa ataleta hela nyumbani kuwekeza
Wazazi wa mwamba wanaishi nyumba ya ghorofa ngapi?
 
Watu wengi wanadhani ukishashinda lottery unapewa green card! Thubutu😁 hapo katikati kuna documents nyingi utatakiwa kutuma na pia kuna interview, kwenye interview utalazimika kuelezea ukienda marekani utaishi wapi na utaingizaje kipato, lasivyo mchezo umeishia hapo.
 
Hivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?
Huruhusiwi kupiga kura

Huruhusiwi kuajiriwa kwenye nafasi nyeti za serikali

Huruhusiwi kuwa officer wa jeshi ukijiunga na jeshi utabaki kuwa askari wa kawaida
 
Watu wengi wanadhani ukishashinda lottery unapewa green card! Thubutu😁 hapo katikati kuna documents nyingi utatakiwa kutuma na pia kuna interview, kwenye interview utalazimika kuelezea ukienda marekani utaishi wapi na utaingizaje kipato, lasivyo mchezo umeishia hapo.
Hizi ndo information huyo jamaa hasemi.Yeye anasifia Mwanzo-mwisho as if ukishashinda bhaasi wewe utabebwa Kama gunia direct to US.
 
Hizi ndo information huyo jamaa hasemi. Yeye anasifia Mwanzo-mwisho.
Tena interview kama ya kuingia peponi. Na kuna malipo ya hizo form wanazokupa ujaze huko mbeleni. Mambo sio marahisi hata kidogo. Wengi hawavukagi interview! Halafu kosa dogo kama la kukosea kujaza taarifa kwenye form ushatolewa kwenye mchujo, au fomu kutowafikia kwa wakati.
 
Attachments

  • BB5E8A82-0B35-4406-A2ED-DB819A4098FE.png
    BB5E8A82-0B35-4406-A2ED-DB819A4098FE.png
    79.5 KB · Views: 44
Watu wengi wanadhani ukishashinda lottery unapewa green card! Thubutu[emoji16] hapo katikati kuna documents nyingi utatakiwa kutuma na pia kuna interview, kwenye interview utalazimika kuelezea ukienda marekani utaishi wapi na utaingizaje kipato, lasivyo mchezo umeishia hapo.
Mkuu inaonekana huyu jamaa hamumfuatilii kwa makini sijui huwa mnahisi anajulikana hapa bongo tu

Mbona alishaelezea sana kwamba kwenye interview ukiulizwa swali kama utaingizaje kipato unaweza taja kazi yoyote halali hata kama utadanganya mfano unaweza hata kusema nitaenda kujiunga na jeshi la marekani hawatajali sababu baada ya hapo hawatakufuatilia kama kweli utaenda kufanya hiyo kazi

Kuhusu kuulizwa utaishi wapi alisema pia unaweza taja state yoyote au pia kwenye kutafuta host unaweza tafuta mtanzania mwenzio aishiye huko ambako mitandaoni utawapata wengi tu kisha mkubaliane kwamba yeye ndiyo aplay kama host wako hata kama hautaenda kufikia kwake hawajali
 
Tena interview kama ya kuingia peponi. Na kuna malipo ya hizo form wanazokupa ujaze huko mbeleni. Mambo sio marahisi hata kidogo. Wengi hawavukagi interview! Halafu kosa dogo kama la kukosea kujaza taarifa kwenye form ushatolewa kwenye mchujo, au fomu kutowafikia kwa wakati.
Hayo yote alishaelezea tafuteni videos zake aloo
 
Mkuu inaonekana huyu jamaa hamumfuatilii kwa makini sijui huwa mnahisi anajulikana hapa bongo tu

Mbona alishaelezea sana kwamba kwenye interview ukiulizwa swali kama utaingizaje kipato unaweza taja kazi yoyote halali hata kama utadanganya mfano unaweza hata kusema nitaenda kujiunga na jeshi la marekani hawatajali sababu baada ya hapo hawatakufuatilia kama kweli utaenda kufanya hiyo kazi au la

Kuhusu kuulizwa utaishi wapi alisema pia unaweza taja state yoyote au pia kwenye kutafuta host unaweza tafuta mtanzania mwenzio aishiye huko ambako mitandaoni utawapata wengi tu kisha mkubaliane kwamba yeye ndiyo aplay kama host wako hata kama hautaenda kufikia kwake hawajali
Wale ma counsellor wao sijui wamesomea psychology, kuna namna ukisema uongo chances za kujulikana ni 98%. All in all sio process rahisi lakini inawezekana pia.
 
Back
Top Bottom