connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Au bado unatafuta elfu ishirini ya Uchakavu?Imefikia pale pale ilipo ishia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au bado unatafuta elfu ishirini ya Uchakavu?Imefikia pale pale ilipo ishia
Huo ndio ukweli huwezi kufanya application how can you manage life itself?Wanafiki mnajaribu kupeana moyo..[emoji1] mnafikiri kila mtu ana akili kama zenu! Binadamu hawa ishiwi ropoka..fateni Maisha yenu...
Hayo ni makisio yako tu! [emoji1][emoji1]Au bado unatafuta elfu ishirini ya Uchakavu?
Ni ukweli kwa mtazamo wako pia... lakini si lazima iwe ukweli.Huo ndio ukweli huwezi kufanya application how can you manage life itself?
Acha kuzozana na IDIOTS, Watz wengi ndivyo walivyo ujuaji mwingi maarifa sifuri. Moja ya kitu kilicho haribu hii nchi ni ujamaa watu wengi wamekuwa brainwashed kwamba home ndio kila kitu, hawajisumbui kutafuta fursa nje ya pale wanapoishi hata kuelewa mambo watu hawataki wamekalia mambo ya simba na yanga , zuchu mala kajala.Ni ukweli kwa mtazamo wako pia... lakini si lazima iwe ukweli.
Angekuwa alicheza angeshawaambia. Kwa vile alivyo muongeaji lazima angesema tu.
Acha kuzozana na IDIOTS, Watz wengi ndivyo walivyo ujuaji mwingi maarifa sifuri. Moja ya kitu kilicho haribu hii nchi ni ujamaa watu wengi wamekuwa brainwashed kwamba home ndio kila kitu, hawajisumbui kutafuta fursa nje ya pale wanapoishi hata kuelewa mambo watu hawataki wamekalia mambo ya simba na yanga , zuchu mala kajala.
Kuna jamaa fulani ana degree ya ualimu kasota nyumbani hana ajira mwaka wa 4.Tulimshauri atume maombi Uganda kwenda kufundisha kiswahili hataki eti hawezi kukaa nje ya nchi BULLSHIT !!!
Ninavyotamani kufundisha Kiswahili njeeNawafahamu watu kadhaa waliokuja US kufundisha kiswahili na hadi leo wapo hapa. Wanasema warudi bongo kulipwa laki 4 kwa mwezi wakati hiyo wanaingiza in a day US.
Ninavyotamani kufundisha Kiswahili njee
Sio mtazamo ni facts Sasa application tu unataka ufanyiwe je utaweza kuelewa mfumo wa fedha wa marekani? Maana bila kuelewa hutaweza kuishi marekani. Jifunze kufanya mambo madogo mwenyewe Ili ufundishwe makubwaNi ukweli kwa mtazamo wako pia... lakini si lazima iwe ukweli.
Una uthibitisho siwezi fanya mambo madogo au unajibu kwa mihemko na Hisia zako tu? Unatoa ushauri ama?Sio mtazamo ni facts Sasa application tu unataka ufanyiwe je utaweza kuelewa mfumo wa fedha wa marekani? Maana bila kuelewa hutaweza kuishi marekani. Jifunze kufanya mambo madogo mwenyewe Ili ufundishwe makubwa
[emoji817][emoji817][emoji817] kabisa mkuu, Umenena vyema kabisa.. Watanzania hawataki kuona mwingine anafanikiwa kwa vile yeye labda Maisha yamesha mpiga...Acha kuzozana na IDIOTS, Watz wengi ndivyo walivyo ujuaji mwingi maarifa sifuri. Moja ya kitu kilicho haribu hii nchi ni ujamaa watu wengi wamekuwa brainwashed kwamba home ndio kila kitu, hawajisumbui kutafuta fursa nje ya pale wanapoishi hata kuelewa mambo watu hawataki wamekalia mambo ya simba na yanga , zuchu mala kajala.
Kuna jamaa fulani ana degree ya ualimu kasota nyumbani hana ajira mwaka wa 4.Tulimshauri atume maombi Uganda kwenda kufundisha kiswahili hataki eti hawezi kukaa nje ya nchi BULLSHIT !!!
Wenye 18 mpaka 25 yrs old acha waendeEBM Scholar anasaidia vijana. Sisi ambao umri umeenda acha tukae pembeni kwanza.
Ila idea yake ni nzuri. Na mnaoshangaa kwa nn anachukua hiyo 20k Hvi mlitaka kweli akusaidie kujaza fomu na kukupiga picha Bure??
Ndo hapo sasa yaani.Victorie hapa umewamaliza yaani hata kujaza fomu huwezi, utaweza vipi kumudu maisha ya marekani?
Kumbe tupo wote mbweni. Basi sawa tukutane jogging na Gym kulinda afya.Wenye 18 mpaka 25 yrs old acha waende
Sisi wenye 30+ na tuna watoto tuna shughuli zetu bongo. Siwezi cheza greencard. Kwanza kwenda kuishi kwa mtu mpaka usettle wakati hapa Mbweni ninaishi kwenye gorofa langu. Aku babu wewe .Maisha bongo ninaishi poa kabisa .Wanangu wanasoma Heaven of peace academy. USA mimi ninakwenda vacation tu.
Jogging yes. Tena huku jogging tunakimbia kwa uhuru. USA unaweza ukawa unafanya zako jogging mara ukatundikwa risasi.Kumbe tupo wote mbweni. Basi sawa tukutane jogging na Gym kulinda afya.
Ila vijana waende kwa EBM wakapambane na Lottery.
Binafsi kama sio umri na maisha ya bongo ningekuwa napambana na lottery muda huu[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimekubali argument ya victorie wewe ukaingilia nikajukibu Sasa unasema oh najuaje huwezi kufanya mambo madogo Mimi nime support statement ambayo ni facts kwamba kama huwezi kufanya application usitegemee huko mbele utaweza mengine hii nikiongea general kulingana na argument. So sikujui nitoe ushauri wa Nini soma uelewe nilichoandika am support the argument not personal chat with someone. The fact watu wanatakiwa kuelewa kufanya application wenyewe na sio kufanyiwa.Una uthibitisho siwezi fanya mambo madogo au unajibu kwa mihemko na Hisia zako tu? Unatoa ushauri ama?