Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Ni ukweli kwa mtazamo wako pia... lakini si lazima iwe ukweli.
Acha kuzozana na IDIOTS, Watz wengi ndivyo walivyo ujuaji mwingi maarifa sifuri. Moja ya kitu kilicho haribu hii nchi ni ujamaa watu wengi wamekuwa brainwashed kwamba home ndio kila kitu, hawajisumbui kutafuta fursa nje ya pale wanapoishi hata kuelewa mambo watu hawataki wamekalia mambo ya simba na yanga , zuchu mala kajala.
Kuna jamaa fulani ana degree ya ualimu kasota nyumbani hana ajira mwaka wa 4.Tulimshauri atume maombi Uganda kwenda kufundisha kiswahili hataki eti hawezi kukaa nje ya nchi BULLSHIT !!!
 
Angekuwa alicheza angeshawaambia. Kwa vile alivyo muongeaji lazima angesema tu.

Anachofanya EBM ni kuwaelimisha vijana njia mbalimbali za kwenda nje ya nchi kujitafutia maisha.

DV lottery, scholarships, visa nk zote anazungumzia kwenye channel yake. Unacholipia ni consultation fees tu na yeye sio mtu wa kwanza kucharge for consultation maana anatumia muda wake. Kitu rahisi kwako kwa mwingine ni kugumu. Nenda global education link usikie wanacharge shingapi kukujazia tu forms za chuo au visa application.

Nchi zote ambazo leo wabongo wanaziabudu kama Kenya, Nigeria, Rwanda zote have one thing in common- diaspora na exposure ya watu wao. Bongo tutaendelea kubaki mkiani tukiendelea kujifungia ndani.

Rai yangu serikali iwape watu passports bila masharti ya kipumbavu ili watu wakapambane wanapotaka na itoe dual citizenship. Ukiwaza mawazo ya serikali ya bongo ndo unagundua ni nchi ya kipumbavu sana ndo maana hatuendelei yani dunia inaendelea kuwa kijiji kimoja ila wao wanaendelea kujifungia tu kama wapo kisiwani.
 
Acha kuzozana na IDIOTS, Watz wengi ndivyo walivyo ujuaji mwingi maarifa sifuri. Moja ya kitu kilicho haribu hii nchi ni ujamaa watu wengi wamekuwa brainwashed kwamba home ndio kila kitu, hawajisumbui kutafuta fursa nje ya pale wanapoishi hata kuelewa mambo watu hawataki wamekalia mambo ya simba na yanga , zuchu mala kajala.
Kuna jamaa fulani ana degree ya ualimu kasota nyumbani hana ajira mwaka wa 4.Tulimshauri atume maombi Uganda kwenda kufundisha kiswahili hataki eti hawezi kukaa nje ya nchi BULLSHIT !!!

Nawafahamu watu kadhaa waliokuja US kufundisha kiswahili na hadi leo wapo hapa. Wanasema warudi bongo kulipwa laki 4 kwa mwezi wakati hiyo wanaingiza in a day US.
 
Ninavyotamani kufundisha Kiswahili njee
 
EBM Scholar anasaidia vijana. Sisi ambao umri umeenda acha tukae pembeni kwanza.

Ila idea yake ni nzuri. Na mnaoshangaa kwa nn anachukua hiyo 20k Hvi mlitaka kweli akusaidie kujaza fomu na kukupiga picha Bure??
 
Sio mtazamo ni facts Sasa application tu unataka ufanyiwe je utaweza kuelewa mfumo wa fedha wa marekani? Maana bila kuelewa hutaweza kuishi marekani. Jifunze kufanya mambo madogo mwenyewe Ili ufundishwe makubwa
Una uthibitisho siwezi fanya mambo madogo au unajibu kwa mihemko na Hisia zako tu? Unatoa ushauri ama?
 
Acha kuzozana na IDIOTS, Watz wengi ndivyo walivyo ujuaji mwingi maarifa sifuri. Moja ya kitu kilicho haribu hii nchi ni ujamaa watu wengi wamekuwa brainwashed kwamba home ndio kila kitu, hawajisumbui kutafuta fursa nje ya pale wanapoishi hata kuelewa mambo watu hawataki wamekalia mambo ya simba na yanga , zuchu mala kajala.
Kuna jamaa fulani ana degree ya ualimu kasota nyumbani hana ajira mwaka wa 4.Tulimshauri atume maombi Uganda kwenda kufundisha kiswahili hataki eti hawezi kukaa nje ya nchi BULLSHIT !!!
[emoji817][emoji817][emoji817] kabisa mkuu, Umenena vyema kabisa.. Watanzania hawataki kuona mwingine anafanikiwa kwa vile yeye labda Maisha yamesha mpiga...
 
EBM Scholar anasaidia vijana. Sisi ambao umri umeenda acha tukae pembeni kwanza.

Ila idea yake ni nzuri. Na mnaoshangaa kwa nn anachukua hiyo 20k Hvi mlitaka kweli akusaidie kujaza fomu na kukupiga picha Bure??
Wenye 18 mpaka 25 yrs old acha waende
Sisi wenye 30+ na tuna watoto tuna shughuli zetu bongo. Siwezi cheza greencard. Kwanza kwenda kuishi kwa mtu mpaka usettle wakati hapa Mbweni ninaishi kwenye gorofa langu. Aku babu wewe .Maisha bongo ninaishi poa kabisa .Wanangu wanasoma Heaven of peace academy. USA mimi ninakwenda vacation tu.
 
Kumbe tupo wote mbweni. Basi sawa tukutane jogging na Gym kulinda afya.

Ila vijana waende kwa EBM wakapambane na Lottery.

Binafsi kama sio umri na maisha ya bongo ningekuwa napambana na lottery muda huu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jogging yes. Tena huku jogging tunakimbia kwa uhuru. USA unaweza ukawa unafanya zako jogging mara ukatundikwa risasi.
 
Huyo jamaa akasaidie vijana wa Congo, Kenya, Uganda, Afrika ya kati, au huko Togo ambako kuna watu wenye roho za kupambana. Vijana wa kibongo wakienda USA hurudi mikono mitupu.... mimi nawajua wengi tu waliofanya hivyo. Hii inatokana na kuvimbiwa amani na maisha ya kijamaa ya hapa bongo. Ulaya na Amerika inahitaji kupambana haswa... ni wabongo wachache wanaweza kuvumilia na kujishusha. Hata ukisoma wengi hapa ni maskini ila wabishi hatari. Anyway ngoja tumsubiri Lemutuz atoe ufafanuzi, you know!
 
Una uthibitisho siwezi fanya mambo madogo au unajibu kwa mihemko na Hisia zako tu? Unatoa ushauri ama?
Nimekubali argument ya victorie wewe ukaingilia nikajukibu Sasa unasema oh najuaje huwezi kufanya mambo madogo Mimi nime support statement ambayo ni facts kwamba kama huwezi kufanya application usitegemee huko mbele utaweza mengine hii nikiongea general kulingana na argument. So sikujui nitoe ushauri wa Nini soma uelewe nilichoandika am support the argument not personal chat with someone. The fact watu wanatakiwa kuelewa kufanya application wenyewe na sio kufanyiwa.
 
Back
Top Bottom