Greenhouse katika video

Status
Not open for further replies.
NINA MASWALI MAWILI NIKUULIZE NA NINGEPENDA UNIJIBU

a) kama sina eneo au mahala pa kujengea hiyo greenhouse nami nataka kufanya kilimo itakuwaje mkuu? kwa hilo?

b) Je inatakiwa uwe na hekali ngapi au eneo au sehemu ya wazi yenye mita ngapi kwa kujenga hiyo greenhouse?

Syringe za nini tena? huoni kwamba unaongeza gharama?. Sisi tunatumia teknolojia isiyo na gharama kabisa.
 
kumbe ukiwa na shs 10,000 unaweza kufanya biashara nzuri tu pasipo kujiwekeza sana asante mdau kwa kunifumbua macho nami nisaidie kupata hiyo cd ya mafunzo ya mkaa nifanye?
 
Kwenye ishu ya cd nadhani wasiliana na mleta mada
 
1. Kama hauna eneo huwezi fanya mradi. Angalau kodisha basi

2. Haijalishi una eneo kiasi gani, unaweza jenga gh hata ya 5x5
 
asante mkuu kwa kunipa ufahamu huo nikipata eneo ntakuja kupata mauujuzi toka kwako asante sana

Wakati unasubiria upate eneo kubwa kwa ajili ya kilimo cha greenhouse, unaweza anza na mradi wa kutengeneza mkaa wa kisasa amnao hauchukui eneo kubwa wakati unasubiria upate eneo kubwa. DVD ya mkaa inatolewa bure kama ofa ukinunua DVD ya greenhouse.
 
asante nitakutafuta mkuu usijali kwa hilo
Wakati unasubiria upate eneo kubwa kwa ajili ya kilimo cha greenhouse, unaweza anza na mradi wa kutengeneza mkaa wa kisasa amnao hauchukui eneo kubwa wakati unasubiria upate eneo kubwa. DVD ya mkaa inatolewa bure kama ofa ukinunua DVD ya greenhouse.
 
kama hauna mahala pa mradi, unategema utafanyaje mradi?
 
Hawa ni waongo. Usitoe hela hizo video ziko mtandaoni bure. Ni za Sygenta International. Upuuzi
 
Kwanini usiziangalie hizo video za bure zikakusaidia nawe ukaanzisha mradi na ukaondokana na umaskini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…