(Gregorian calendar) Is he pious?


mtafungwa wachache sana tunajua kuwa tunaweza kusema no kwa baadhi ya mambo lakini serikali yetu ndio wanaosaini mikataba mbalimbali na kutuwakilisha katika mambo mabalimbali. kwani uongo kuwa tanzania ni nchi ya kukubali tu vitu,labda tubadilishe mfumo ndio tutaweza kuwa na hiyo power usemayo, hata hivyo katika mahusiano ya kimataifa sisi ni nani tuna nini? haya ni maswali rahisi ya kujiuliza je ni sera gani ya umoja wa mataifa tuliyopinga ukishakuwa ni sehemu ya umoja wa mataifa china anaweza kusema jambo kwani anaweza kisimama kifua mbele na kuhoji na kupinga na kufanya kila kitu.

narudia tena no power ni international community no right to decide or argue.
nikizungumza tanzania najumuisha pia serikali na haswa serikali kwani ndio watunga sera wawakilishi wa wananchi na wao ndio wasema ndio wakubwa, lakini mtu mmoja mmoja anaweza kujiamini lakini bado kutokana na mambo yalivyo akapata wakati mgumu kufanya anayoyataka kutokana na mambo ambayo serikali tayari imeshaharibu.
tunaweza kuwa na power in east africa community kwani karibu tunalingana kiuchumi ila katika dunia we are yet to have the power.
 
ujue ukija kufuatilia vizuri hata baadhi ya sikukuu kubwa kama x-mas zipo kwenye tarehe tofauti ktk kalenda.Lakini nadhani kwa mfano x mas ya sasa ya tarehe 25 Desemba inatokana na sikukuu ya wapagani wa kirumi waliokuwa wakiabudu jua na kusherehekea kuzaliwa kwake maana ndipo jua angavu lilitokea siku hiyo.Katika karne (336 AD) wamisionali baada ya kwenda huko ndipo wakaibadili siku hiyo kuwa siku Yesu kuzaliwa.Hatimaye siku hiyo kuwa maarufu hata sasa.Kwa sababu hiyo nahisi Gregory alifanya ivyo kwa maana fulani ya kiimani na si kutukuza miungu ya kirumi,kama vile kuiaibisha miungu ile.
 
jibu la swali lako limo humuhumu hebu pitia vizuri tangu mwanzo.
 

Ndugu yangu, nakubaliana nawe kwamba ni taabu kwa watanzania kuwa na collective power kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kusalitiana au kutojiamini. Lakini pamoja na hayo, nadhani unakubaliana na mimi kwamba nguvu ya nchi, hata kama ina mali kidogo, inatokana na nguvu ya mtu mmoja mmoja. Wewe na mimi na yule tukijiamini, tukapanga mambo yetu na kuyafanya tukiamini yanafaa, ndiyo nguvu ya nchi hiyo. Nafikiri chanzo hapo hasa ni kujiamini na mengine yanafuata.

Pia tunaweza kusema kwamba ikiwa najiona sina nguvu mbele ya yule mchina, basi changamoto yangu kubwa ni kuanza na mchakato wa jinsi ya kuwa na nguvu aidha inayolingana na huyu Mchina au kumkaribia ama kumshinda...nitajishughulisha na mambo ya msingi yanayoweza kuinua power yangu...kama ni utashi wa kisiasa, kidiplomasia, kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia nk. Yaani badala ya kusema "mimi jamani ni mnyonge" nitajishughulisha kimyakinya hadi naibuka kidedea...hiyo yote ni kwa sababu kila kitu kinachowezekana kwa mwenzio kinawezekana hata kwako pia...the only thing to do is to act and continue to act hadi upae juu.

Kinachohusiana na hili ni mjadala uliomo ktk jukwaa hili wenye uzi (thread) "Elimu ya Tz" ambapo tunajadili mfumo wa elimu wa Tanzania. Mfumo mzuri wa elimu ni ule unaomjengea mwanafunzi power, nikimaanisha mambo makubwa kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Ujuzi na maarifa ya kutosha, ubunifu (wa kisayansi, kisanii, kiteknolojia nk), hali ya kujiamini (kuamini kabisa moyoni kwamba "naweza" na "nitafanya"), uwezo wa kujali utu wa binadamu, utambuzi wa kimaadili na kuwa muadilifu (kujisikia kwamba rushwa ama ufisadi ni aibu kubwa). Mtu yeyote anayepata elimu ktk mfumo wa aina hii atakuwa na uwezo wa kulisimamisha taifa wima kwa namna yeye mwenyewe alivyo na mambo ayafanyayo popote aendapo ulimwenguni...ndiyo power ya nchi hiyo ktk ngazi za kimataifa. Kwa hiyo ndugu yangu, sijayaweka mawazo yangu hapa ktk mpangilio mzuri lakini nadhani ujumbe unaeleweka. Kimsingi naungana nawe, lakini pia nasema kwamba kinaweza kufanyika kitu ili power ipatikane---iwe ya mtu mmojammoja au ya kitaifa...
 
Why maintain a population of 500,000,000 and not 1,000,000,000 or 5,000,000,000?

Kiranga, I think that the number 500 000 is connected to the last commandment about giving room to nature. Why 500 000 and not a million? maybe because it is the minimum viable to perpetuate a civilization (nadhani tu, sina uhakika).

Today earth seem to be a planet for humans to live. Maybe with that number it will become a planet containing all sort of things (minerals, vegetation and animals) and all using the ressources equally.

I am a bit concerned about the methods to be used to downsize the world population (engraving such a message on a hard material and planting it in the desert where no one lives looks to me like a message to future generations who could question 'somebody's' actions), but as long no one is killed, as long as we are just reducing the birth rates, I agree with the idea.
 

The minimum viable to perpetuate civilization kwa nini iwe 500,000,000 na si 250,000,000 au 750,000?

Hawa jamaa kwa kutaja a number that low wanakuwa kama mtu anayesema speed kills, anaacha kuendesha gari 100 kn/hr anataka liende 5 km hr. Underspeeding is just as bad as overspeeding.

Nature yenyewe inafundisha balance, excess in ny direction is bad be it over or underpopulation. Sasa tukirudi kuwa watu tunaoweza kujaza India tu dunia nzima akae nani?
 
It is only in 1900 that we did hit one Billion (source). If we were to live in a world with minimal adverse footprint on nature (as they seem to promote it) then we would not all go and live in India. we aill spread evenly across the globe (or with more concentration around the tropical regions of it) and live as much as possible from what the earth provides naturally.
As I mentioned, I don't know why 500 000, but to me, the less the better. Until the year 1500 the world population was that: 450M people only. that is where they think we should keep it (I think). Just after that the world witnessed the agriculture and industrial revolutions, with the consequences that we know now... At the bigining of the 20th century there were only 1.6 billion humans. Now look where we are...

 

You don't have to reduce our current population to 500,000,000 to lead a sustainable life. On top of that, there is a case to be made that decreasing population will yield benefits to the environment up to a certain point where we will start to see diminishing returns in the sense that the benefit to humanity and the earth in general will be far negligible compared to the regression the world will experience as a result of some tree huggers deciding we are going to severely depopulate.

Megacities are an environmentalist's nightmare, but reasonably sized cities planned with the environment in mind foster creativity and coordination at a level that far flung villagers can hardly attain. And before you pull some Shangri-La adoring chants about how wonderful seclusion can be, which may well be true if you are not interested in scientific progress which is based on cooperation, best fostered in large groups of people, you must acknowledge that there are people in this very world who have managed to have sustainable mid sized environmentally friendly cities. So it is incumbent upon us to get the best that an optimal population can offer without affecting the environment. Aiming lower than is environmentally sustainable is a sort of lazyness that true environmentalist should not embrace, because at heart environmentalist mimic the environment, and the environment has some aspects of the best economy possible. If the environment was "aiming" for safe numbers we wouldn't be here to discuss it.

If you truly believe the less the better then what you are saying really is a world with no people, because no people is certainly less than 500,000,000. Would you go for that thinly shrouded brand of nihilism masquerading as responsible environmentalism?

I can understand someone saying we need to depopulate, but 500,000,000 is simply ushering in a new dark age. And very possible toying with a self inflicted near extinction level of existence.
 
Nimekupata mkuu.
 

nimekuelewa na ninakubaliana na wewe ndio maana nami nikaongeza kwa kusema mmoja mmoja mbona wengi tunajiamini, lakini ikiwa wachache sana kati ya wengi sana ndio tupo hivyo, na ukiongeza watendaji walioserikalini wakawa hao wengi wasiojielewa wasiojiamini basi tatizo lipo kubwa. tukija kwa ulinganisho wa nchi bila kutazama mtu mmoja mmoja nchi inawakilishwa na serikali na viongozi wa serikali hao ndio wanaotuangusha na kufanya nchi yetu iwe hivyo navyolaumu ilivyo. serikali ndio ifanyayo uchumi uwe mmbovu kwa kushindwa kusimamia vizuri mali asili za nchi na matumizi mazuri ya fedha.kwa sababu hiyo inaturudisha nyuma kimataifa kama nchi na kutufanya tusiwe na sauti,kwani kimataifa kinachotamba ni nchi gani ina uwezo mkubwa wa uchumi siasa iliyo shawishi na technolojia ya kutegemewa,kama nchi vyote hivyo hatuna kimataifa tutakuwa kweli na sauti yoyote? mimi na wewe kujiamini itatusaidia kama individuals lakini kwa nchi iliyojaa wengi wenye kasoro bado si msaada.
ila nimekuelewa.
 
[h=3]If we had a govt for the ppl, working for the ppl. Tungekusanya ushahidi na kubring these puppets to book halafu hao EO tungewafungulia pia mashtaka kwa wizi, utapeli na ujasusi hapa hapa nchini na hiyo heritage ifukuzwe na ikiwezekana kutaifishwa. Lakini tukumbuke kwamba hili ni genge la kimataifa linalohusiana na serikali nyingi tu................ Na je ss tupo tayari kudeal na BM? Kuna vigogo wangapi ktk serikali ya SA ya sasa na iliyopita wamehusika? Je wanasiasa kule kwa Bibi hawatakuwa na mkono tukiamua kuchukua maamuzi mazito on the intl platform?

Na all in all serikali hii ya JK ipo tayari and willing kudeal na jambo zito kama hili kama hata issue za wizi wa vijihalmashauri vya wilaya hawana uwezo wa kudeal nazo.[/h]
 
If we had a govt for the ppl, working for the ppl. Tungekusanya ushahidi na kubring these puppets to book halafu hao EO tungewafungulia pia mashtaka kwa wizi, utapeli na ujasusi hapa hapa nchini na hiyo heritage ifukuzwe na ikiwezekana kutaifishwa. Lakini tukumbuke kwamba hili ni genge la kimataifa linalohusiana na serikali nyingi tu................ Na je ss tupo tayari kudeal na BM? Kuna vigogo wangapi ktk serikali ya SA ya sasa na iliyopita wamehusika? Je wanasiasa kule kwa Bibi hawatakuwa na mkono tukiamua kuchukua maamuzi mazito on the intl platform?

Na all in all serikali hii ya JK ipo tayari and willing kudeal na jambo zito kama hili kama hata issue za wizi wa vijihalmashauri vya wilaya hawana uwezo wa kudeal nazo.
 
mi nadhan kama pope gregory angebadilisha majina mchango wake ungekuwa mkubwa,au unaonaje bwana kichuguu?
 

Ndio maana huwa nasema kila siku kuwa bado hatujui mungu ni nini/nani?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya imani na ukweli. .

Ningependa tuongee kiundani kuhusu hili:

1. Niwakati gani Imani inakuwa si kweli?

2. Niwakati gani Imani inakuwa kweli?

3. Ukweli kama unavyo dai wewe: Ni wakati gani ukweli unakuwa Uongo?

4. Ni wakati gani Ukweli unabakia ukweli na unakuwa umetumia vigezo gani?

5. Kivipi umeamua kulinganisha na/au fananisha "Imani na Ukweli"?

6. Kuna uhusiano gani kuhusu Ukweli na Uongo na/au Imani? Since uliamua kusema kuna tofauti kubwa kati ya hayo maneno mawili. "Imani na Ukweli"
 
Setuba,realness,kichuguu na wengine,nilizungumza mazingira ya siku 11,na umuhimu wa papa gregory wa 13,mkadai hiyo ni imani yangu na wengine mkadai hata huyo lucifer hayupo,naomba mniambie nani alifanya haya na kwanini hizi namba 11 na 13 zimelizunguka tukio la sept 11 kama namba hizi hazina a maana,angalia post yangu inayofuata..........
 
Tukio la sept 11 lilihusisha miji ya washington,new york na nchi ya afghanistan;Neno Washngton dc,ukiliandika kwa usahihi lina herufi 11,The Pentagon nayo ina herufi 11,jina George W Bush lina herufi 11,neno Afghanistan lina herufi 11,jina la alietuhumiwa kupanga mashambulizi hayo ni Ramzi Yousef,lina herufi 11,sept 11 ukiiandika ni 911 ambayo ni 9+1+1=11,tukio lenyewe lilitokea tarehe 11,ndege ya kwanza kugonga WTC ni flight 11,ilikua na wafanyakazi 11,ilikuwa na abiria 65,6+5=11!Ndege iliyogonga Pentagon ni flight 77,ukigawa kwa 7 unapata 11,ilikua na abiria 92,9+2=11!Majengo yote yalivyokua yamesimama yanatengeneza namba 11 na yana ghorofa 110..Inaendelea post inayofuata......
 
Setuba,realness,kichuguu na wengine,nilizungumza mazingira ya siku 11,na umuhimu wa papa gregory wa 13,mkadai hiyo ni imani yangu na wengine mkadai hata huyo lucifer hayupo,naomba mniambie nani alifanya haya na kwanini hizi namba 11 na 13 zimelizunguka tukio la sept 11 kama namba hizi hazina a maana,angalia post yangu inayofuata..........
 
Setuba,realness,kichuguu na wengine,nilizungumza mazingira ya siku 11,na umuhimu wa papa gregory wa 13,mkadai hiyo ni imani yangu na wengine mkadai hata huyo lucifer hayupo,naomba mniambie nani alifanya haya na kwanini hizi namba 11 na 13 zimelizunguka tukio la sept 11 kama namba hizi hazina a maana,angalia post yangu inayofuata..........
 
Sept 11 ni siku ya 254 ya mwaka,2+5+4=11,na zinakua zimesalia siku 111 mwaka uishe!New York City nayo ina herufi 11 na ni taifa la 11 kujiunga na USA!911 ni namba ya dharula ya Marekani!Majengo ya WTC yakiwa yamesimama yanatemgea namba 11 jumlisha na namba ya ndege ya kwanza kugonga WTC ambayo ni flight 11 kisha tarehe ya siku ya tukio yaani tarehe 11 unapata 33,hii ni idadi ya digree ya Freemason!Wakati ndege ya kwanza ingonga WTC ilikuwa umbali wa futi 159 na inchi 2 kutoka ardhini,1+5+9-2=13!Hekalu la freemason wa digree ya 33 liko umbali wa 13 blocks kutoka white house!Ukitaka kujua maana ya namba hizo angalia post zangu zilizotangulia pia kuhusu sept 11 au maarufu kama 911 soma ufunuo 9:11,pia kwa namba 13 soma mwanzo 14:4,ila kwa maelezo angalia post zangu zilizotangulia ujue maana ya namba hizo kwa mujibu wa waabudu shetani hawa!Je hayo nayo ni imani yangu?Je osama alipanga hayo?Au ilikua ni ibada ya kishetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…