Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sehemu nyingi duniani tunatumia kalenda ya kirumi au gregarian calender, kwa heshima aliyopewa pope gregory kwa mchango wake katika kalenda hii.
ilikuwa ni mwaka 1582,ambapo watu walilala tarehe 4 mwezi wa tano wakaamka tarehe 15 mwez wa tano bado sijajua kwa nn waliziruka siku 11,labda.....!
kalenda ya kirumi wakati inaanza ilikuwa na miezi kumi:
1.MARCH,
2.APRILIUS,
3.MAIUS,
4.JUNE
5.SEXTILIUS
6.QUANTILIUS
7.SEPTEMBER
8.OCTOBER
9.NOVEMBER
10.DECEMBER.
Kutokana na mchango wa Julius na Augusto miezi miwili ilitolewa kwa kuheshimu michango yao ambayo ni sextilius na quatilus ambayo leo inaitwa July na August.
Hoja yangu ni kwa huyu papa gregory ambae alirekebisha kalenda kwa mara ya mwisho. Kwa nini aliacha majina ya miungu yatumike? Majina kama junus,februalius,march,aprilius,maius na june/junos. Yeye ni kiongozi mkubwa wa dini ambae ilibidi awe antagonist mkubwa wa miungu hiyo. Siwazungumzii kina julius na augustus kwa sababu wao walikuwa emperors of rome/roman empire. Je kama kiongozi mkubwa wa dini anaikubali miungu,vipi kwa waumini.
I do not disagree to call them saints but are they such pious?