Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Mkuu, hebu fafanua kidogo ili tusije kujichanganya bure.Mungu hasikilizi watu waliokosa maarifa
Huyu wa sasa watu wanamdharau sana. Zile kauli za "kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake" na " najua mnapatapata kwenye maeneo yenu" lakini mnavimbiwa " ziliwapa watu fursa ya kumdharau na tiketi ya hujuma at one's capacity!Enzi za Mkapa na Magu, Gridi ikizima ni sawa na jaribio la kupindua nchi, wahusika wanaenda kujieleza mjengoni!
2024 pekee tu, gridi imechomoka mara ngapi? Wako serious kweli?
- Hitilafu maana yake ni nini?
- Nguzo zikianguka, inasemwa, wandhani hatuna akili ya kujua watachosema? Na itokee sasa hata kama wanajua tatizo ni nini!
Ninachojaribu kusema, upumbavu umezidi kukithiri! Kucheza na hatima ya maisha ya watu ndio dili la panya wachache walioko chamani na serikalini!
Huhitaji vyombo vya habari kujua nchi iko gizani, hatukuwa na hii mambo kipindi fulani....mtasema ilikuwa inatokea ila waliogopa kusema?
...wenu na naniMpaka sasa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dodoma na Iringa huduma imeanza kurejea na wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha wanarejesha huduma ya umeme
Basi huko mna bahati mkuu. Huku bila bila mpaka sasaTayari umerudi alfajiri hii, muwe mnasema nini chanzo cha hitilafu za kukatika kwa umeme. Tulidhani ni kimbunga HIDAYA kimeangusha nguzo!
Changamoto kubwa kuliko yote ni kukosa wataalam wa vitendo (maarifa). Tupo vizuri kwenye maneno na maombi (ambayo pia Mungu hasikilizi watu waliokosa maarifa).
Tunazalisha na kuajiri watu wa maneno zaidi.