Gridi ya Taifa yapata hitilafu na kusababisha baadhi ya maeneo kukosa umeme, TANESCO watoa taarifa

"Mfumo wa gridi ya taifa ni mfumo wa kuweka mayai yote katika kapu moja" discuss
 
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo.

TANESCO wanasema Juhudi za kurejesha umeme zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana katika maeneo yote yaliyoathirika, na baadhi ya mikoa kama Dodoma na Iringa zimeanza kurejea.

Shirika linawaomba uvumilivu Wateja wake wote wakati Watalaamu wakiendelea na jitihada za urejeshaji wa mfumo wa Gridi ya Taifa.

View attachment 2980285

Pia soma: Hitilifafu za Gridi ya Taifa ndani ya mwaka 2024
Yule mbunge aliyeshauri tanesco ivunjwe mara tatu kaona mbali
 
Dodoma hakuna umeme wahuni nyie
 
someni sana ili muwe na ubongo mzuri kuliko kuangalia tv
438837317_323418194110359_5272894418822743662_n.jpg
 
Chini ya mama Abdul wa Lisu hakuna kitu kitaenda sawa.
 
Halafu sijui kwanini giza la kukatika umeme nchi nzima linakuwaga kali kuliko hata giza linalokuwepo umeme ukikatika tu sehemu tu uliyokuwepo yaani kunakuwaga na giza kali mpaka wewe mwenyewe hujioni unajisikia tu unahema
 
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo.

TANESCO wanasema Juhudi za kurejesha umeme zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana katika maeneo yote yaliyoathirika, na baadhi ya mikoa kama Dodoma na Iringa zimeanza kurejea.

Shirika linawaomba uvumilivu Wateja wake wote wakati Watalaamu wakiendelea na jitihada za urejeshaji wa mfumo wa Gridi ya Taifa.

View attachment 2980285

Pia soma: Hitilifafu za Gridi ya Taifa ndani ya mwaka 2024
Life goes on as usual. Everyday new excuse!!!
 
Back
Top Bottom