Grilled chicken liver (mishkaki ya maini ya kuku)

Last edited by a moderator:
Yaani nnavyopenda maini ya kuku uwiii. Ila sijawahi kuyachoma mishkaki, asante ntajaribu. Uyapate na ugali na maharage na kachumbari, na maji ya kunywa kibaoo. Daah!

Jaribu mpenzi kutengeneza utakuja kuniambia utamu wake....mie hula pamoja na fries
 
Nazikimbia fries aisee, si unajua uzee na magonjwa ya mioyo, mzani nao unafanya sifa acha tu. Najua tu nitapenda as long as haziwi dry.

Hiyo menu ni kwa watu wanaoshop spmkt .huwezi kununua kuku mia eti upate kilo ya maini ya kuku.
 
Owh yeah......pole sana mpenzi mungu akujaalie afya nzuri zaidi
 
Hiyo menu ni kwa watu wanaoshop spmkt .huwezi kununua kuku mia eti upate kilo ya maini ya kuku.

Hahahahaha kuna supermaket wanauza ati lol.....eti ununue kuku mia nimechekaaa🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Maskini macho yangu, yameona na moyo unetamani. farkhina naumia mie mwenzioooo.

Asante kwa pishi
 
Last edited by a moderator:
Maskini macho yangu, yameona na moyo unetamani. farkhina naumia mie mwenzioooo.

Asante kwa pishi

Hahahahaha usintie hasira mie...naumia mie nkitamani mambo hayo hadi niungue na moto kwa kupika mwenzangu wapelekwa na shemegi forodhani kula mishkaki ya kila aina lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hiyo menu ni kwa watu wanaoshop spmkt .huwezi kununua kuku mia eti upate kilo ya maini ya kuku.

wewe usikalili mkuu nenda magengeni pale mwananyamala kwa muga muuza kuku akupe maini unayotaka yapo na firigisi pamoja..
 
Hahahahaha mwenzio alikua anataka anunue banda zima la kuku lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ni masala flani yamechanganishwa spice tofauti but kama hupendi smell ya spice za kihindi usitumie ila ni nzuri sana.....

Ninayo hiyo Shan Tandoori Masala kwenye pantry! Ukijua namna ya kuitumia ku marinate kuku huwa wanatoka bomba sana

Naona unafuata nyayo za Nigella Lawson:A S wink:
 
Hata mimi natumia hiyo pia nzuri kwa kweli...au kuna nyengine kwenye kijikopo kidogo ni nzuri zaid imeniishia ntakutumia nawe ukainunue

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hata mimi natumia hiyo pia nzuri kwa kweli...au kuna nyengine kwenye kijikopo kidogo ni nzuri zaid imeniishia ntakutumia nawe ukainunue

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hii inanihusu this weekend
 
Back
Top Bottom