Grilled chicken liver (mishkaki ya maini ya kuku)

Grilled chicken liver (mishkaki ya maini ya kuku)

farkhina leo ndo nachoma imebidi nije kupitia darasa upya
 
Last edited by a moderator:
amu umepotea sana haya ikiwa tayar wee tuite tu lol
Shoga matamu balaa ila maini ukichoma yananywea japo yametoka midogo ila mitamu sana
 
Last edited by a moderator:
Hayo maini ya kuku mpaka yafikie nusu kilo... labda ukakusanye machinjioni...
 
Back
Top Bottom