Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa njaa inaumaa!!!!
thanks dia! nitajaribu kutengeneza home kwangu. swali, wapi nitapata maini ya kuku yakiwa mengi, japo 1/2 kg? mara nyingi wanauza firigisi
Mahitahi
1)Nusu kilo ya maini ya kuku
2)Pilipili manga 1 tablespoon
3)1/2 tablespoon ya pilipili ya unga
4)Limau
5)Tandoori masala 1/2 teaspoon
6)Tangawizi 1/2 tablespoon
7)Kitunguu saumu 1/2 tablespoon.
8)Bizari ya pilau iliotagwa (ground cumin) 1 tablespoon...
Namna ya kutaarisha
1)Safisha maini yako vizuri na weka pembeni yajichuje maji..
2)Changanya viungo vyote hapo juu...wacha maini yakolee viungo for 2 hours
3)Weka maini katika vijiti maalum vya mishkaki
4)Choma mishkaki katika jiko maalum la mkaa ama kwenye grill
5)Geuza geuza mishkaki huku ukipakaa mafuta juu yake hadi kuwiva vizuri...
Kamulia limau kdg juu ya mishkaki yako na weka kwenye sahani na katia katia juu yake nyanya na kitunguu maji au salad upendayo...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sasa mambo mazur yameanza enheee... n still waiting for ladoos🙂 ..ujue mwenzio mambo pengine mazuri ndo mana nimeshikiliaga hio kitu..lol
Shoste Mungu akubariki
Weekend hii mgeni wako....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Unakaribishwa ila aisee uje tupike mahanjumati
napenda kujua kuandaa mishikaki ya samki na jinsi ya kutengeneza kuku wa kavu na zile nyama wanaita kokoto ikiwemo vyakula gani vinalandna na hivyo,,will be gratefull sister farkhina
nimekupm nipe namba tuwasiliane wasaap tafadhali
Hiyo menu ni kwa watu wanaoshop spmkt .huwezi kununua kuku mia eti upate kilo ya maini ya kuku.
Hhahahahaha hapo sijaweka na ukwaju lazima uroweshe t shirt...
Duuuh...wantamanisha ukwaju mpaka nakumbuka kwetu!lol