madogo sana
Yaani nnavyopenda maini ya kuku uwiii. Ila sijawahi kuyachoma mishkaki, asante ntajaribu. Uyapate na ugali na maharage na kachumbari, na maji ya kunywa kibaoo. Daah!
Jaribu mpenzi kutengeneza utakuja kuniambia utamu wake....mie hula pamoja na fries
Nazikimbia fries aisee, si unajua uzee na magonjwa ya mioyo, mzani nao unafanya sifa acha tu. Najua tu nitapenda as long as haziwi dry.
Duh mpaka mate yamenijaa mdomoni
Hiyo menu ni kwa watu wanaoshop spmkt .huwezi kununua kuku mia eti upate kilo ya maini ya kuku.
Ni masala flani yamechanganishwa spice tofauti but kama hupendi smell ya spice za kihindi usitumie ila ni nzuri sana.....
Ok..got you mamy,sante
Hiyo menu ni kwa watu wanaoshop spmkt .huwezi kununua kuku mia eti upate kilo ya maini ya kuku.
wewe usikalili mkuu nenda magengeni pale mwananyamala kwa muga muuza kuku akupe maini unayotaka yapo na firigisi pamoja..
Hahahahaha mwenzio alikua anataka anunue banda zima la kuku lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ni masala flani yamechanganishwa spice tofauti but kama hupendi smell ya spice za kihindi usitumie ila ni nzuri sana.....
Ninayo hiyo Shan Tandoori Masala kwenye pantry! Ukijua namna ya kuitumia ku marinate kuku huwa wanatoka bomba sana
Naona unafuata nyayo za Nigella Lawson:A S wink:
Hata mimi natumia hiyo pia nzuri kwa kweli...au kuna nyengine kwenye kijikopo kidogo ni nzuri zaid imeniishia ntakutumia nawe ukainunue
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hii inanihusu this weekend