Grilled chicken liver (mishkaki ya maini ya kuku)

thanks dia! nitajaribu kutengeneza home kwangu. swali, wapi nitapata maini ya kuku yakiwa mengi, japo 1/2 kg? mara nyingi wanauza firigisi
 
Ow...mie hata sijui mambo ya huko kwenu..labda wengine watakusaidia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sasa mambo mazur yameanza enheee... n still waiting for ladoosπŸ™‚ ..ujue mwenzio mambo pengine mazuri ndo mana nimeshikiliaga hio kitu..lol
 
Hahahahaha usijali Mrs Kharusy

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
napenda kujua kuandaa mishikaki ya samki na jinsi ya kutengeneza kuku wa kavu na zile nyama wanaita kokoto ikiwemo vyakula gani vinalandna na hivyo,,will be gratefull sister farkhina
 
Ntakuekea recipes zake usijali

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Jamani mbona kuna sehemu wanapima kabisa,kama wataka maini tupu unapata kama firigisi tupu unapata kiasi chochote utakacho,
Hiyo menu ni kwa watu wanaoshop spmkt .huwezi kununua kuku mia eti upate kilo ya maini ya kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…