madogo kuliko dagaa/uduvi?madogo sana
ha ha hamadogo kuliko dagaa/uduvi?
Shoga matamu balaa ila maini ukichoma yananywea japo yametoka midogo ila mitamu sana
Hayo maini ya kuku mpaka yafikie nusu kilo... labda ukakusanye machinjioni...
Mbona yanauzwa madukani?
in supermarkets to insist...
Mbona yanauzwa madukani?
Kweliiii.....!!!
By the way kwa mapishi hayo kwa kweli shemeji anafaidi vingi sana...