Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Grimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu na kwamba kadri anavyochelewa kutibiwa atapata madhara ya kudumu.
Anasema kama Elon hataki kuongea naye basi aweke hata mwakilishi mtu wa kati atakayeshughulikia hilo suala!
Anasema kama Elon hataki kuongea naye basi aweke hata mwakilishi mtu wa kati atakayeshughulikia hilo suala!