Watoto wasitumike Kama fimbo kwenye mahusianoGrimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu na kwamba kadri anavyochelewa kutibiwa atapata madhara ya kudumu.
Anasema kama Elon hataki kuongea naye basi aweke hata mwakilishi mtu wa kati atakayeshughulikia hilo suala!
View attachment 3244382
View attachment 3244384
Elon ana uwezo wa kutoa Trillion moja kila mwaka kuhudumia watoto wake wote, wanawake wake wote na ndugu zake kwa miaka hamsini bila kufilisika.
Unaweza amini kuwa Elon ameshindwa kuwakatia insurance watoto wake?Kwamba mke wake amekosa Hela ya kumpeleka mwanae hospitali