pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 536
- 2,213
Kufanikisha siku ya ukombozi ya October 29 kupitia maandamano ya amani na ya kikatiba basi tujiunge na group la Discord kupitia link iliyopo hapo chini kwaajili ya kujiorganize na kupeana motisha kwani tumeona uko Nepal, Morocco na kwengine, Discord imekuwa njia rahisi na pekee ya kuaminika katika kuji organize na kufanikisha kwa usalama zaidi kwani haitoi utambulisho wako halisi, mahali na taarifa binafsi.
Karibuni kwa wingi.
Angalizo: husitumie utambulisho wako halisi kujiunga (kujisajiri) na hili group (anonymous) Maana kuna wazamiaji, ila tutakuwa tunawaondoa machawa taratibu
discord.gg
Karibuni kwa wingi.
Angalizo: husitumie utambulisho wako halisi kujiunga (kujisajiri) na hili group (anonymous) Maana kuna wazamiaji, ila tutakuwa tunawaondoa machawa taratibu
Discord - Group Chat That’s All Fun & Games
Discord is great for playing games and chilling with friends, or even building a worldwide community. Customize your own space to talk, play, and hang out.