Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine yule mwimgine anachukua wake.
Yeah party km party hio ni party kila Friday kuelekea weekend
 
Kwa namna yeyote sihungi mkono tabia za kiasherati/ uasherati kama huo..

GENTLEMAN Labda wanakua wamesha jipima maana kwa Sasa DUO HIV TEST KITS Zipo na zinapatikana kwa wingiii
uwezekano huo upo tena mkubwa sana gentleman,

lakini pia ile minong'ono ya waja kwenye maombolezo misibani mwa hasa vijana waliotangulia mbele za haki, ndio hivo bana jamaa kaisha tangulia, aliugua mda mrefu ila ilikua sio rahisi kumjua, na ni kilichomuondoa alikipata kutoka kwa fulani ambae nae tulishamzika mwaka jana mwezi wa4,

Muombolezaji anaendelea kufunguka, marehemu ataondoka na watu wengi sana huyu. Nawe ukijitafakari, kisirisiri gizani huko ulipita nae kavu kavu mara kadhaa, na kwasasa una homa zisizoeleweka, unajikuta kwenye hali ya kukata tamaa na kujitumbukiza kwenye huo uchafu, ukiwa na mindset ya kua unao na huwezi kuondoka pekeyako 🐒
 
Wanaume goigoi hawafanyi hio kitu sababu ya aibu pumzi ndogo utaishia kuaibika tu
 
Kujiunga unalipia, au hilo genge nani analiorganize?
Nahisi hizo party ni kama disco, kunakuwa na kiingilio ila unalipia ina advance kwasababu unakuta wanawake 10 wanataka wanaume watano, mala nyingi namba ya wanawake inakuwa mala mbili ya me wanavyotaka na kuziratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…