AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
haya hata hii jioni njoo mahala kuna kitu kizuri sana kwa ajiri yakoam in....
ila sio huko kwenye milango ya kuzimu🤣
haya hata hii jioni njoo mahala kuna kitu kizuri sana kwa ajiri yakoam in....
ila sio huko kwenye milango ya kuzimu🤣
Hahaha basi km ujinga waache waendelee kuufanya ujinga wao mimi na wewe haituhusuhiyo sio party
ni ujinga
umesema kwamba uwe mwenye pumziHivi unaelewa maana ya party?
😳haya hata hii jioni njoo mahala kuna kitu kizuri sana kwa ajiri yako
Sema mkuuMzee unajua nini au basi acha ngoja nisiseme
kwa kweliHahaha basi km ujinga waache waendelee kuufanya ujinga wao mimi na wewe haituhusu
Kwani ushawahi kufika sehemu kuna party watu si wanacheza mziki wanafurahi au wewe unazungumzia nini wanaocheza kwenye party hawana afya au?umesema kwamba uwe mwenye pumzi
uwe vizuri
for my experience miili mizuri inajengwa kwa diets na mazoezi
so ndo nimekwambia hapo ujenge mwili mzuri ukauteketeze kwenye soko la gonorea na kaswende?
Kuna vitu vinachekesha sana ila siwezi kuviandika hapa inakua sio sawa hii ngoja niache tuSema mkuu
Ndio hivyo mkuu unachoona wewe ujinga wenzio wanaona ujanja unachoona wewe ujanja kuna wenzio wanaona ni ujinga mtupukwa kweli
duuh unavyokaza sasa medullaKwani ushawahi kufika sehemu kuna party watu si wanacheza mziki wanafurahi au wewe unazungumzia nini wanaocheza kwenye party hawana afya au?
Leo weekend pamendezaa sana
Sasa hio wanafanya km sherehe wewe unafikiri inakuaje? Wanasherehekeaduuh unavyokaza sasa medulla
hapo juu wanazungumia kwenda kut@mbana kwa makundi kama nyumbh
sio sherehe jamani
then ukasema sherehe kama hizo lazima uwe na pumzi ya kufanya
sasa ....
anyyways jion njema
location...Leo weekend pamendezaa sana
duhhSasa hio wanafanya km sherehe wewe unafikiri inakuaje? Wanasherehekea
pa siku zote japi sio pale pale ila around hapolocation...
Hahaha ni hivyoduhh
🤣🤣🤣🤣🤣
kuna DC aliesumbua sana enze za Magu kuna video yake ilivujaKuna meya wa jiji fulani hapa bongo enzi za JK na JPM alikuwa anapenda sana hiyo kitu usemayo inaitwa ORGY.
Alikuwa ananunua malaya, anawanunulia na rafiki zake vijana wadogo tu wanaenda kupiga mzigo chumba kimoja kwenye moja ya nyumba zake au anachukua room ya double lodge... Mungu amlaze anapostahili huko waendako wafu.
Kashakufa.
Siyo kwamba imeanza au kuenea leo.
Mheshimiwa Meya alikuwa na ndoa ya polygamy.
Multiple wives hawakumtosha.
Dah bwashee nina shift za usiku tu ,sio poa.Kaka weekend inaanzaa Leo hatupigi gamble
Mwana kulitafuta wee 🤣