Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo.

Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine yule mwimgine anachukua wake.
Cunts
 
Siku hizi na hizi nyumba za Airbn ndio hatari kabisa.

Wanachukuana wenyewe 18 wanakwenda sehemu, wanakula, wanakunywa na kufurahi.
Halafu mtu mmoja anasimama na kusema ''Jamani hapa sisi wote ni watu wazima''

Ukiongezea na mzuka wa pombe, upotofu na tamaa za kimwili basi watu wanaanza kudandiana bila aibu.

Kwa usiku mmoja ukiwa na bahati basi huwezi kukosa walau wadada wanne.

Kuna muda wa kuangalia afya? Hamna,
Je wanatumia kinga? No

Maisha bora kwa kila Mtanzania
 
Back
Top Bottom