Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mbaya zaidi anayeonekana malaya ni mwanamke na sio mwanaume aliyeshiriki nae huo upumbavu.Binti, mdada, mwanamke kama bado uko kwenye age ya kutongozwa nakuonea huruma sana sababu now days they casually ask us… unafanya anal? 3some?unasagana?
I’m like What the hell! hadi sisi millennials jamani mnatuuliza haya mambo 😂 kwamba ni kawaida kufanya kiasi kwamba yall casually talk about it. Yani mi mkubwa mzima unaniuliza huo ujinga? 🤣
So far nawaoneaga huruma wasichana wadogo, will they manage kuruka vihunzi vyote hivi?
Ukiwa binti afu unajiheshimu, hutombwitombwi ovyo, automatically unakuwa bonge moja la pisi kali.