Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

Kuna mijanaume migumegume imeenda huko kwenye house parties weee, imelala na kila aina ya malaya kila kona, imeugua magonjwa ya ajabu ajabu, halafu linataka kuja kuoa bikra! ! !

Hivi wasichana bikra ndo mmewafanya madampo ya kuwamwagia uchafu mliozoa huko? ? ?

Kama mnamuona msichana bikra ana thamani sana kwanini ufikiri anastahili kuwa na pepo mchafu?

Yani hata wasio bikra hawawataki, who wants this filth of a man for a husband? ? ? ?

Jitu limelala hadi na wanaume wenzake linataka kuongelea purity ya mwanamke! !

Yani kupitia hii thread ndo nimegundua muangalie sana mtu anayekaa kunyooshea wanawake kidole kila siku bikra bikra, you'd think he's a God Fearing Prayerful Man who has never defiled himself with a woman, kumbe lenyenyewe lina experience kama zote za kulala malaya, hadi wanaume wenzake! !

Yani wewe mwanaume kama unajijua you're this filthy na umepata bikra wa kuoa nikutaarifu tu MUNGU hadhihakiwi na ni muaminifu kwa watu wake, there's no way amuache binti yake aje afungwe na wewe pepo mchafu,

iko sababu Mungu kakuachia umchukue hiyo bikra, ukampakaze laana ulizozoa huko, maana Mungu wetu yuko nje ya muda, na haangalii vile tunaangalia. Unajichukulia zako kashetani ukavune ulichopanalda.

Sio kila ndoa ni Mungu kaunganisha, ndoa alizounganisha Mungu zina sababu, something to do with his Kingdom, sio anaunganisha tu ili kukufurahisha. Infact naamini ni ndoa chache sana ambazo Mungu anahusika nazo. God has nothing to do with a filthy marriage! ! !

You know wake za Mahukani kwenye hekalu la Mungu huko Israeli walipaswa kuwa na sifa specific, ikiwemo bikra. Hao ni wake wa Makuhani wa Mungu. Wewe ni Kuhani wa Mungu? Unajua sifa za kuwa Kuhani wa Mungu? Unajua Mungu alikuwa hata hataki mtu mwenye kovu awe kuhani?

Unajua adhabu ya kulala na mwanamke asiye na bikra usiyemuoa ni kifo? Mnataka kutuletea za Mafarisayo kumpiga mwanamke mzinzi mawe wakati mwanamume aliyekamatwa naye hayupo! ! Unajua kwanini walipoteana? Coz they knew wamepindisha sheria ya Mungu, kidume kilipaswa kuwa hapo na chenyewe kipigwe mawe.

Sasa nawauliza nyie mapepo wachafu mnaokesha kwenye house parties halafu mnakuja hapa kuongelea purity ya mwanamke, mna akili timamu? ? ? Au ndo wale wanaume wajinga wajinga?

Mbona kama kinyesi kinakisema mkojo kuwa kinaharibu hali ya hewa?

Anyways ongezeni bidii, kwani yote yalitabiriwa kutokea na BWANA WETU YUKO MLANGONI AMEKARIBIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

"Tena akaniambia, “Usiyafiche kama siri maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, maana wakati wa kutimizwa kwake umekaribia.

Kwa sasa anayetenda mabaya na aendelee kutenda mabaya, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu. Mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi kuwa mtakatifu."

Ufunuo.22.10-11.BHN
 
Sasa wewe si utakuwa mchagua jembe si mkulima?
Kweli Mimi nakubali ni mchagua jembe...Mimi NIMEWAI kutongozwa na wadada mara nyingi sana..Huwa naogopaga sana.. Juzi Kuna mmama mtu mzima aliniomba namba. Nikajua anacho kitaka nime mkwepa..Naambiwaga na watu kua na sura nzuriii.

NB. Maradhi hazina kwanini ununue shangingi/ Malaya
 
Kuna mijanaume migumegume imeenda huko kwenye house parties weee, imelala na kila aina ya malaya kila kona, imeugua magonjwa ya ajabu ajabu, halafu linataka kuja kuoa bikra! ! !

Hivi wasichana bikra ndo mmewafanya madampo ya kuwamwagia uchafu mliozoa huko? ? ?

Kama mnamuona msichana bikra ana thamani sana kwanini ufikiri anastahili kuwa na pepo mchafu?

Yani hata wasio bikra hawawataki, who wants this filth of a man for a husband? ? ? ?

Jitu limelala hadi na wanaume wenzake linataka kuongelea purity ya mwanamke! !

Yani kupitia hii thread ndo nimegundua muangalie sana mtu anayekaa kunyooshea wanawake kidole kila siku bikra bikra, you'd think he's a God Fearing Prayerful Man who has never defiled himself with a woman, kumbe lenyenyewe lina experience kama zote za kulala malaya, hadi wanaume wenzake! !

Yani wewe mwanaume kama unajijua you're this filthy na umepata bikra wa kuoa nikutaarifu tu MUNGU hadhihakiwi na ni muaminifu kwa watu wake, there's no way amuache binti yake aje afungwe na wewe pepo mchafu,

iko sababu Mungu kakuachia umchukue hiyo bikra, ukampakaze laana ulizozoa huko, maana Mungu wetu yuko nje ya muda, na haangalii vile tunaangalia. Unajichukulia zako kashetani ukavune ulichopanalda.

Sio kila ndoa ni Mungu kaunganisha, ndoa alizounganisha Mungu zina sababu, something to do with his Kingdom, sio anaunganisha tu ili kukufurahisha. Infact naamini ni ndoa chache sana ambazo Mungu anahusika nazo. God has nothing to do with a filthy marriage! ! !

You know wake za Mahukani kwenye hekalu la Mungu huko Israeli walipaswa kuwa na sifa specific, ikiwemo bikra. Hao ni wake wa Makuhani wa Mungu. Wewe ni Kuhani wa Mungu? Unajua sifa za kuwa Kuhani wa Mungu? Unajua Mungu alikuwa hata hataki mtu mwenye kovu awe kuhani?

Unajua adhabu ya kulala na mwanamke asiye na bikra usiyemuoa ni kifo? Mnataka kutuletea za Mafarisayo kumpiga mwanamke mzinzi mawe wakati mwanamume aliyekamatwa naye hayupo! ! Unajua kwanini walipoteana? Coz they knew wamepindisha sheria ya Mungu, kidume kilipaswa kuwa hapo na chenyewe kipigwe mawe.

Sasa nawauliza nyie mapepo wachafu mnaokesha kwenye house parties halafu mnakuja hapa kuongelea purity ya mwanamke, mna akili timamu? ? ? Au ndo wale wanaume wajinga wajinga?

Mbona kama kinyesi kinakisema mkojo kuwa kinaharibu hali ya hewa?

Anyways ongezeni bidii, kwani yote yalitabiriwa kutokea na BWANA WETU YUKO MLANGONI AMEKARIBIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

"Tena akaniambia, “Usiyafiche kama siri maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, maana wakati wa kutimizwa kwake umekaribia.

Kwa sasa anayetenda mabaya na aendelee kutenda mabaya, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu. Mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi kuwa mtakatifu."

Ufunuo.22.10-11.BHN
Unapigia mbuzii gita.
 
Kumbe wakitangaza house party Ndo inakuwa hiviii 🙆‍♀️
Ila dunia iko mbali sana
Yani kundi La watu wako uchi bila haya na wanajamiiana?
Hii ni hatari
 
Binti, mdada, mwanamke kama bado uko kwenye age ya kutongozwa nakuonea huruma sana/najionea huruma sana sababu now days they casually ask us… unafanya anal? 3some?unasagana?

I’m like What the hell! hadi sisi millennials jamani mnatuuliza haya mambo 😂 kwamba ni kawaida kufanya kiasi kwamba yall casually talk about it. Yani mi mkubwa mzima unaniuliza huo ujinga? 🤣

So far nawaoneaga huruma wasichana wadogo, will they manage kuruka vihunzi vyote hivi?
So sad kwakweli
Dunia iko mbali
Mwanamke mume akikuomba kinyume unamtukana mnaachana ila kumbe ni fasheni ya kawaida kwa wengine
 
Hiyo anal inaenda kuwa old fashion watu marinda gudubai naona wameanza na hayo mapya dunia hii
 
So sad kwakweli
Dunia iko mbali
Mwanamke mume akikuomba kinyume unamtukana mnaachana ila kumbe ni fasheni ya kawaida kwa wengine
Sio kawaida, watu ndio wanataka kuleta ukawaida.

Yaani jitu limeharibika huko lije liniharibu na mimi, sio kweli.
 
hopa panaitwa geti jeusi pub fulani hivi kigamboni, aise ni zaidi ya hiyo stori ya huyo muungwana mtoa hojo.

ukishuhudia, huwezi shangaa kijana akitafunwa na fangasi wakali sana mdomoni, achilia mbali sehemu za siro, kwenye viganja vya mikono na miguu 🐒
Napajua geti jeusi kigamboni, hiyo pub ipo sehemu gani?
 
Back
Top Bottom