Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kuna mshikaji wangu muhuni sanaa yeye anapiga sana Tungi na Huwa ni mwendo wa dry na magonjwa hajapata Huwa anatumia kilainishii hichooKuna vitu vinachekesha sana ila siwezi kuviandika hapa inakua sio sawa hii ngoja niache tu