mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Hii nchi kuna matajiri wakubwa tu zaidi ya GSM ila hawataki kusikiahabari za udhamini wa mpira,au kuwekeza kwenye kabunbu,wanajua hailipi
GSM angeendelea kukuza mtaji wake tu kwanza aachane na Yanga itakuja kumfirisi,akuze mtaji wake kwanza,najua yeye ni Simba damu na yuko pale kibiashara ,mbona ameshatangaxa biasharazake inatosha sasa
Amuulize Jabir Shikamkono alivyofirisika sababu ya hizi timu.
Azim Dewji miaka ya nyuma nusura akate mtaji sababu ya Simba
Yanga ni timu ya wananchi tutaichangia tu na itasonga