GSM akiacha kudhamini timu nyingine Yanga itakuwa timu hatari zaidi

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja.

TFF kubalini pendekezo la makolo haraka, wanahamu ya kupigwa 5+ mara kwa mara.
 
Mkuu, Umepata kifungua kinywa au daku? Ni kama umeamka na njaa kali.
 
Ndio kwanza funga imeanza mara hii unaamka na nyuzi za namna hii, halafu utegemee utatoboa kweli?
 
We hujui anadhamin wengin Kwa manufaa ya utopolo😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…