sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu Tanzania bara", "Udhamini huu wa ligi kuu hauna uhusiano na udhamini binafsi wa vilabu"
Ni vema kusema kwamba vitendo huongea kuzidi malalamiko, yale malalamiko ya fair competition hatimae gsm wameyasikia, hizi pesa zitaenda kunufaisha kila timu.
Kwa sasa ni dhahiri kabisa pesa si tatizo kwa Young Africans, Tusubiri ligi ziishe