GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu Tanzania bara", "Udhamini huu wa ligi kuu hauna uhusiano na udhamini binafsi wa vilabu"

Ni vema kusema kwamba vitendo huongea kuzidi malalamiko, yale malalamiko ya fair competition hatimae gsm wameyasikia, hizi pesa zitaenda kunufaisha kila timu.

Kwa sasa ni dhahiri kabisa pesa si tatizo kwa Young Africans, Tusubiri ligi ziishe

Ni vyema wadhamini waongezeke kwa manufaa ya mpira wetu na vilabu vyetu.
 
GSM kudhamini ligi nzima na huku akiwa ni mdhamini wa timu ya Yanga hii haijakaa sawa coz hakuna FAIR COMPETITION
 
Hakika ,,Simba hatuhangaiki na vitu vidogo kama hivyo,, Sisi tunaangalia performance ya timu yetu. Logo wanahangaika nazo utopolo. Wamelazimika kufadhili ligi kwasababu ya logo - huo ni ushamba wao ,hauwezi kutufikirisha.
kwani Ina maana gsm akiwa mdhamini mwenza Yanga hawataweka logo ya mdhamini mkuu?
 
Gsm ni mtu wa fursa tu atawatumia utopolo kwa manufaa yake badae atawakacha
Kama kweli ana maslahi na uto mwambieni awajengee kiwanja hata cha mazoezi achana na kile cha kaunda
Nyie mo kawanunulia kiwanja gani, uyo ndo mjanja mjanja namba moja, ataendelea kuwatumia baada ya apo atawasusa Kama kawaida yake alivyofanya African lyon na singida united, jiandaeni kisaikolojia
 
Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu Tanzania bara", "Udhamini huu wa ligi kuu hauna uhusiano na udhamini binafsi wa vilabu"

Ni vema kusema kwamba vitendo huongea kuzidi malalamiko, yale malalamiko ya fair competition hatimae gsm wameyasikia, hizi pesa zitaenda kunufaisha kila timu.

Kwa sasa ni dhahiri kabisa pesa si tatizo kwa Young Africans, Tusubiri ligi ziishe

Haya mambo ya rangi ni katika mambo ya kijinga sana nchi hii. Iko siku watu wataikataa bendera ya taifa naona kwa ujinga kama huu. Ma team makubwa huko Liver sijui Chelsea wana main rangi zao mfano Red lakini utakuwa wanavaa mpaka njano wala sio issue hiyo. Kwa hiyo Hivi mechi za Caf kuna watu wanakataa nembo ya Caf katika jezi sababu ya rangi?
 
Simba sc wala hatuhangaiki na rangi au nembo ya GSM, tutaiweka na kikubwa mpira uchezwe kwa haki.

Msidhani mnaweza kuikomoa Simba SC kwa namna hiyo, hatuna ushamba sisi hata njano au kijani tunavaa tu.
 
Panueni hio mzawa wa Yanga awangize nembo, ila sioni tatizo kwakweli
 
Uzuri logo ya gsm zipo mbili,kuna kijani na njano na kuna nyeusi na nyekundu.
Tukichukua ubingwa wasikimbie udhamini.

Ila majamaa wabahili ,hela aliyotoa GSM ni sawa na mkataba wa Vunja bei na simba
Vunja bei anauza jezi GSM wanauza nini kwenye udhamini tofauti na kukuza brand?
 
Haya mambo yanasumbua wajinga wa utopoloni tu.

Simba kuvaa nembo ya GSM sio issue hata kidogo.Maana Simba hatuna ujinga ujinga uliopo utopolo
Unaongea hivyo sababu mmepigwa timing ingekua MO kafanya hivyo mngeshinda humu mna bweka
 
Back
Top Bottom