sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hakika umesema,hapo nda watajua kama hawajui.Hiyo yote waepuke logo nyekundu?
Itapendeza sana siku simba ikichukua ubingwa tutahiyltaji kombe tukabidhiwe na hersi au GSM mwenyewe
Simba hainaga ushamba kama huo, hata angetokea mdhamini wa kampuni ya choo ambayo kampuni yake inawakilishwa na logo ya mavi ya njano au kijani bado isingekuwa kikwazoHeheheh usiempenda kaja. Utamvaa upende usipende
Mwambie Mo aweke hela mezani nae awe mdhamini, acha kuumia kwa hela za wanaume.Simba hainaga ushamba kama huo, hata angetokea mdhamini wa kampuni ya choo ambayo kampuni yake inawakilishwa na logo ya mavi ya njano au kijani bado isingekuwa kikwazo
Simba hainaga ushamba kama huo, hata angetokea mdhamini wa kampuni ya choo ambayo kampuni yake inawakilishwa na logo ya mavi ya njano au kijani bado isingekuwa kikwazo
Mmh! Wana lao jambo hao, sema kauli ya Manara akiwa Simba ilikuwa sahihi, akiwa upande uleeePamoja na kuendelea kubezwa na wasiojitambua lakini kuna wenye akili timamu wanaitumia fursa ya kuongeza thamani ya ligi kwa kuongeza wadhamini, gsm ni moja ya kampuni inayojipambanua kibiashara pasipokuangalia wala kusikiliza makelele ya baadhi ya wapuuzi ambao aidha wanatumika kuichafua brand ya gsm ama wanatumika kwa maslahi yao binafsi, Nawapongeza tff kwa kuitumia fursa iyo mmeiona na mmeitumia, Mwenye nacho siku zote uongezewa na mwenye wivu wa kimaskini ataendelea kuteseka tu tajiri wala hana habari nae[emoji119][emoji119][emoji119]
Mtakufa kwa wivu,,kaweke na wewe ya kwako Kama ni pesa ndogo tuonePesa yenyew ni kama alioweka vunja bei dhidi ya simba halafu mnatupgia kelele
View attachment 2020835
Simba hajawahi kukataa, kugomea wala kubishia nembo au rangi ya mdhamini wa jumla wa ligi au mashindano.Uzuri logo ya gsm zipo mbili,kuna kijani na njano na kuna nyeusi na nyekundu.
Tukichukua ubingwa wasikimbie udhamini.
Ila majamaa wabahili ,hela aliyotoa GSM ni sawa na mkataba wa Vunja bei na simba
Aweke hizo pesa kwa sababu ni "move" yenye tija kwake kibiashara au aweke ili tu "kujibu mapigo" ya GSM ?Mwambie Mo aweke hela mezani nae awe mdhamini, acha kuumia kwa hela za wanaume.
Heheheh usiempenda kaja. Utamvaa upende usipende
If you can't beat them join themHaya mambo yanasumbua wajinga wa utopoloni tu.
Simba kuvaa nembo ya GSM sio issue hata kidogo.Maana Simba hatuna ujinga ujinga uliopo utopolo
Hakika ,,Simba hatuhangaiki na vitu vidogo kama hivyo,, Sisi tunaangalia performance ya timu yetu. Logo wanahangaika nazo utopolo. Wamelazimika kufadhili ligi kwasababu ya logo - huo ni ushamba wao ,hauwezi kutufikirisha.Simba hainaga ushamba kama huo, hata angetokea mdhamini wa kampuni ya choo ambayo kampuni yake inawakilishwa na logo ya mavi ya njano au kijani bado isingekuwa kikwazo
Gsm ni mtu wa fursa tu atawatumia utopolo kwa manufaa yake badae atawakachaMtakufa kwa wivu,,kaweke na wewe ya kwako Kama ni pesa ndogo tuone