GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

Sisi kama Simba hayo hayatuhusu sisi tutashinda zetu zote
Ila shida ipo pale ambapo tukipata sare, tunaanza kulalamika kuhusu Fair competition ya GSM

Kama mwanachama wa simba naomba tusifike huko tena
 
Mkataba wa kuidhamini ligi unalingana na vunjabei kule unyamani daaahh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wawe wanatoa details za mgawanyo wa huo udhamini, mtakuta team zinaambulia 1ml tu. Hebu TFF muweke floor ya kudhamini ligi yetu kubwa bana sasa mnatuletee pet pet issue sana. Mtu ajipange amwage mzigo wa maana faida inapatikana kwa matangazo yake
 
Gsm ni mtu wa fursa tu atawatumia utopolo kwa manufaa yake badae atawakacha
Kama kweli ana maslahi na uto mwambieni awajengee kiwanja hata cha mazoezi achana na kile cha kaunda
Kule bunju jk ndie aliempa rage,nyasi bandia aliagiza aveva,pope na kaburu,nyasi zilipokwama bandarini mdau mmojawapo aliechangia kuzitoa ni sammata baada ya kuombwa na kaburu,mo akatia greda baadae uwanja ukaitwa jina lake,hapo ndipo jina la mbu3 alilowaachia mzee rage linapomake sense
 
Ambavyo huna akili hujui kama vunja bei anauza jezi yule sio mdhamini utapata akili lini?
Sawa anauza jezi unajua maana ya udhamini kwanza..? Au ndio utopwinyo umekujaa..? Vunja bei anatoa pesa kwa makubaliano ya kuuza vifaa vya michezo vyenye nembo ya simba hivyo yeye ni mdhamini mmoja wapo wa simba.. mbuzi kweli rudi darasani kwanza. Jezi anatengeneza kwa hela yake mwenyewe au unajua simba wameweka pesa mle..? Jitambue mbweha wa utopwinyoni kule
 
Wawe wanatoa details za mgawanyo wa huo udhamini, mtakuta team zinaambulia 1ml tu. Hebu TFF muweke floor ya kudhamini ligi yetu kubwa bana sasa mnatuletee pet pet issue sana. Mtu ajipange amwage mzigo wa maana faida inapatikana kwa matangazo yake
Umeonaeeh ujanja ujanja tu. Yaani mzamini anashindwa hata na vunjabei πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Nimegundua humu ndani watu wengi sio wafuatiliaji kabisa wa mambo ya football. Ni mihemko tu... Iko hivi, NBC ndio mdhamini mkuu na nembo yake ndio inakaa kwenye jezi za vilabu vyote 16. GSM ni mdhamini mwenza ambapo nembo yake itakaa kwenye mabango uwanjani wakati wa mechi. Hili ndilo ninalofahamu, labda kama kuna mabadiliko yamefanywa mimi sijui, ila GSM nembo yake haitakuwa kwenye jezi
 
NBC 2.5 Bi
GSM 2.1 Bi
... who's next?
 
Umeonaeeh ujanja ujanja tu. Yaani mzamini anashindwa hata na vunjabei πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
We jamaa wivu utakuua,muambie mo akaweke pesa kama ni rahisi,GSM katoa 1 mln usd na hao NBC wametoa 1.1 mln usd,kwenye huo mkataba GSM kazidiwa m 300 TZS ambazo wala asingeshindwa kuziweka hapo ili awe main sponsor,angeweza kuweka zaidi ila ndio katunza heshima ya partner wake NBC
 
Samahani hapo Haji yupo kama GSM au YANGA?
 
Saaa hata angezifi kwa muda huu tayari watu washa saini mkataba. Huo mkataba sawa na vunja bei tu. Na sio 1Usd ml hiyo mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…