GSM anaachana na yanga kwasababu ya wajumbe hawa

Wananchi na team yao, mnalialia nini?
Simba waliamua kutua mzigo na kuwapa wenye pesa waendeshe club hatutaki kuhangaika kuchangoshana kulipa wachezaji mishahara!

Simba atachukua ubingwa mara ya NNE msimu ujao![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna lolote hapo viongozi ni shida. Wanadai hawashirikishwi kwenye usajili mbona kuhusu Haruna,Nchimbi,kurudi kwa lamine na ujio Wa kocha mpya viongozi ndio waliotoa hizo taarifa?/ Hii inamanisha walishirikishana. Nadhani tatizo la msingi lipo kwenye Hoja ya kwamba viongozi wanachukia kuona GSM wanajihusisha moja kwa moja ktk utoaji pesa na si kuwatumia viongozi ktk utoaji Wa pesa hizi ili wazipige kidogo
 
Nini kifanyike gsm wasitoe tena pesa za msada ktk kusajili wachezaji ambao uongozi unawahitaji ila unashindwa kukidhi mahitaji yao?
 
GSM asepe tu atuachie timu yetu sisi ndo wananchi. Anataka kujimilikisha yanga kiholela, atengeneze timu yake kama anaona ni rahisi.
Katika wale wajumbe watatu nafikili na huyu mmoja wapo... ila all in all vita vya panzi furaha kwa kunguru!!! Mna midomo sana nyie.... simba bingwa 2019_2020πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ˜‚
 
Njaa mbaya sana, hivi mashabiki wa Yanga (mnjiita timu ya wananchi wakati mnajikomba kwa GSM) anayofanya GSM makubaliano yake ni yapi mnayajua? Au nyie ni wale wa ndiyo Bosi, kwa nini kipindi hiki cha uelewa mpana wa mikataba nyie mnaruhusu kampuni ifanye mambo bila makubaliano yoyote. Sasa ikatokea GSM akaacha ina mana timu unaenda kumkosa Morison, kocha,kocha wa viungo, Nchimbi, Niyonzima, Adeyu, Lamina,. Kwa nini mgekua na akili msingeweza kuboresha mkataba ili hayo hata akisema anaondka mkawa na sehemu ya kumbana badala ya kumpigia magoti kama saizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli kwa akili za haraka haraka alikuwa anaingilia 10% za watu, obviously watamuwekea ZENGWE tu GSM.
 
Tajiri hanuniwi,Yanga rudini mkalambe matako ya mabosi zenu(boot licking).
 
Hata weweee tutakukosaaa nendaa tu
 
Yanga mbona mnakuwa wanyonge sana. Mi nawaunga mkono kina Gumbo. Yanga ni taasisi haiwezekani mtu anajifanyia utaratibu pembeni. Kama anania njema kwa nini asifuate utaratibu. Hili jambo litakuja kuwagharimu siku moja. Kwa mfano angejitoa mazima,wachezaji wake angewalipa nani.
 
NYiE MBWAAA MLIOTUMA MSG ZA MATUSI INBOX MMELEWA SASAA
 

Either waliwatuma awajawatuma.SOLN n.MAWILI

1)HAWA WAHUNI. WAONDOKE YANGA
2)/ UONGOZI WA YANGA UJIUZULU

NASHUKURU KUONA.NAMBA 1 IMEFANYIWA.KAZI
 
Katika wale wajumbe watatu nafikili na huyu mmoja wapo... ila all in all vita vya panzi furaha kwa kunguru!!! Mna midomo sana nyie.... simba bingwa 2019_2020πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ˜‚
Corona vipi ndugu yangu ...huko ulaya ikiwemo Englang wanafikiria kufuta ligi...timu yangu ya Liverpool huenda ikakosa after waiting for almost 30 years..
 
Corona vipi ndugu yangu ...huko ulaya ikiwemo Englang wanafikiria kufuta ligi...timu yangu ya Liverpool huenda ikakosa after waiting for almost 30 years..
Sie pale tulipoishia ndipo tutapoanzia.. na hata huko ulaya kwa mfano hispania.. wamesema wamearisha kwa muda usiojulikana kwa hiyo tatizo likiisha goma linaanza pale lilipoishia hawajasema wamefuta
 
Sie pale tulipoishia ndipo tutapoanzia.. na hata huko ulaya kwa mfano hispania.. wamesema wamearisha kwa muda usiojulikana kwa hiyo tatizo likiisha goma linaanza pale lilipoishia hawajasema wamefuta
Katika historia ya dunia epidemic haiwezi kuwa ya muda mfupi...anyway tuache hayo ...tusitishe watu...watu wenyewe wajisomee au wafanye rejea kuhusu namna magonjwa mbalimbali yalivyowahi kuitesa dunia Kama surua na kadhalika...tumuombe mwenyezi Mungu tu...
 
Yanga inawadhamini wengi, SportPesa akiwa mdhamini mkuu. GSM udhamini wake ni kwenye jezi, ila alichoamua kufanya kama msaada nje ya mkataba ndio kilichohojiwa na kuleta mgogoro.

Kwa maoni yangu GSM wanatumia nguvu yao ya pesa kufanya yasiyo wajibu wao na wao kutamkwa zaidi kuliko wadhamini wengine.

Na hata ukimsikia Nugaz msemaji wa Yanga amekuwa kama msemaji wa GSM zaidi akisifia brand yao kuliko wadhamini wengine.

Pia kutoa pesa zao nje ya mfumo rasmi wa club kuna leta harufu ya utakatishaji pesa kwa njia hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo GSM niya nani hasa tuanzie hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…