Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Sio majizo tu,sababu ya majizo kumtosa hamisa ni utulivu ziro,kana wanaume wengi. Ule moto wake wa kujiweka karibu na dai ni kutaka kudaka madili ya zari danube ila ndo hivyo tena kaambulia kudhalilika.sio mashost tu hata mama ake ni wale wale wanaoishi mjini kwa kudanga
Lulu hajatulia kabisaa ila anaigiza kutulia. Tatizo mastaa wa bongo mashauzi mengi sana kujiweka juu wakati sio level zao. Jaribu kumpa dili model wa kitanzania kama hatachelewa kwenye shughuli basi hatatokea kabisaa kwa visingizio mia kidogo

kwahiyo alikuwa anadate na majizo na diamond pamoja?
Nafikiri mashoga zake wenye akili fupi ndio wanampoteza.
Kwasasa Staa ambae naona kaamua kubadili mfumo wa maisha yake ni Lulu, Akitulia atakuja kuwa Zari wa baadae