GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

unampangia mtu matumiz ya pesa zake? bongo kwanza hamna models, acha watu wanaojitambua wagonge mashavu tu
 
Kwani model wet wanaweza pata nafasi hiyo Uganda [emoji1254] tupendane jamani
Watu wanafanya smart business na smart people. Zari ana trend, reputation na ana influence zaidi kimataifa hata kwa corporates ni rahisi kampuni kukubalika huwezi fananisha na wapuuzi wengi wa kibongo ambao wana umaarufu wa kufanya vitu vya kipumbavu kama kina Giggy money!

Unaenda kuomba tender ya ku supply furnitures FNB au wizarani ukiwa na balozi kama giggy money kweli ama Amber lulu?
 
kil

kila kitu anachofanya huyu dada anazidi kutuaibisha sisi wabongo na anampa sababu ya Diamond kuzidi kudharau dada zetu.ushamba mzigo na mama yake naye sijui ni mama wa taarabu kumbe lidada lenyewe ni used.ZARI NI MASHINE KUBWA NA BIASHARA ZAKE ANAWEZA AKAMTUNZA HAMISA NA MTOTO WAKE NA MAMA YAKE MPAKA WAZEEKE
kama dada zetu hawajielewi tufanyeje mkuu?
Ulitaka Umber lulu au gigy money ndo atumiwe na GSM?
 
Alitegemea akizaana dai mtoto wake atapata ubalozi wa danube,jana pia kajichoresha vibaya kawaita shilawadu na kusema alikua na mahusiano na chibu kwa miaka 9 hapo ni kama anataka kushindana na zari. Zari angekua mmama wa kibongo baada ya cheating angevunja mikataba ya akina tiffa akizan anamkomoa baba mtu
Nasikia anamiaka 24, so ukitoa 9 alikuwa na miaka 15.
Anaonekana umalaya alianza tangu shule.
Hafai.
 
Nashukuru Mkuu nawe una liona sawa na ninavyoliona Mimi
Zari ni Mganda kwa nini GSM inakataa kuwashirikisha models wa Tz wakaamua kumchukua mtu wa nje ya Tz
Uzalendo uko wapi?
Kuna watakaosema sijui Kidhungu blah blah ! that's full of bs!
Matangazo ya biashara ndani ya Tz Models toka nchi jirani WHY N HOW?
DANUBE wapeni support models wa Tz sio huu ushabiki maandazi!
Inaonekana una akili km za hamisa mobetto
 
Mkuu ni Wema tuuuuuu ndiyo model ndani ya Tz?
Let's be serious!
Wapo wengi mbona Flavianna Miriam Odemba etc
Let's get to a point tuvipende vya kwetu tuvithamini tuviendeleze
Pesa atakayolipwa Zari haitabaki Tz itaenda South Africa au Uganda lakini kama ingekuwa ni Mtanzania pesa itabaki Tz. Hili naona wengi hawalioni.... Ni wazo tu!
tuletee hao model tuwachambue sasa
Gigy? amber lulu? wolper? wema?
 
Tunapoandika vitu tujiridhishe kwanza ndio tutoe watu wasome, kama dunia ingekuwa hivyo watu wa nje hawachukuliwi ktk nchi nyingine kufanya matangazo au kazi basi dunia ingesimama na kila mtu angekaa ktk nchi yake, samatta yupo ubeligiji kwani hakuna wabeligiji wanaocheza mpira, flaviana yupo usa kwani kule hakuna models , kuna siku nipo Nairobi nikamuona Joketi ana host kipindi cha dstv akiwa Nairobi kwani hakuna wakenya wenye uwezo huo tuache kusema vitu ambavyo hatuvijui cha kufanya tuwape somo dada zetu wajitambue hawajitambui thamani yao hata biashara zao hawawezi kuzifanya na kwa kifupi mkataba wa gsm ni wa Diamond kambeba Zari hata voda ni hivyohivyo
 
Eti kina odemba chaaaa yani hao wahenga wa sabuni za revola leo waje waibuke tu kwenye madeal ya kizazi kipya teh
AU WALITAKA GMONEY AJE ATUVULIE CHUPI GSM!! DADA WA SINGELI WAKAFUNGUE MZIKI MNENE NA VIBANDA UMIZA VYA KIBITI.HAWANA MVUTO WA BIASHARA KAMA WAMESHINDWA KUUZA MOVIE ZAO SASA WATAUZA NINI TENA.CHUPI YA GMONEY TULISHAIONA WOTE
 
Back
Top Bottom