GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Sio majizo tu,sababu ya majizo kumtosa hamisa ni utulivu ziro,kana wanaume wengi. Ule moto wake wa kujiweka karibu na dai ni kutaka kudaka madili ya zari danube ila ndo hivyo tena kaambulia kudhalilika.sio mashost tu hata mama ake ni wale wale wanaoishi mjini kwa kudanga

Lulu hajatulia kabisaa ila anaigiza kutulia. Tatizo mastaa wa bongo mashauzi mengi sana kujiweka juu wakati sio level zao. Jaribu kumpa dili model wa kitanzania kama hatachelewa kwenye shughuli basi hatatokea kabisaa kwa visingizio mia kidogo
kwahiyo alikuwa anadate na majizo na diamond pamoja?
Nafikiri mashoga zake wenye akili fupi ndio wanampoteza.

Kwasasa Staa ambae naona kaamua kubadili mfumo wa maisha yake ni Lulu, Akitulia atakuja kuwa Zari wa baadae
 
Sio kwamba hufuatilii ila unataka kusikia na kuona unachokipenda
 
Zari ameolewa na Mtanzania yupi?
 
angepewea Lemtuz super model [emoji2][emoji2]
 
Halafu hiyo miaka tisa akazaa na majizzo duuu au na yule ni mtoto wa Diamond? kama kuna tunzo ya uongo nayo apewe....
 
Eti kina odemba chaaaa yani hao wahenga wa sabuni za revola leo waje waibuke tu kwenye madeal ya kizazi kipya teh
Odemva namuona anacohangaika kwenye page za udaku zinazompinda Zari. Kwenye post za mange zote anazomtukana Zari odemba analike na kukoment. Anasahau kuwa jua limeshazama. Afu kwa mtu exposed kama yeye anakuaje mswazi jamni???!!
 
Zari Mwenyezi Mungu kamjalia uzuri na akili pia. Mwache tu awe juu. Hawa celebrities wetu badala ya kumshambulia ili wamshushe wajitahidi kujifunza toka kwake ili waweze kufikia level yake au kuikaribia..
Mkuu kuna mahala nimesoma sijui kama kweli 'bashite' yumo kwenye hili. Anapanga na kuamua gsm ndani ya mifuko yake ya surualeee! Kama ni kweli basi giza tupu.
 
Halafu hiyo miaka tisa akazaa na majizzo duuu au na yule ni mtoto wa Diamond? kama kuna tunzo ya uongo nayo apewe....
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Afu ana mbwembwe za kujifanya anawapiga vijembe wanaomzalisha wakati ndo wanamuweka mjini.
Enzi za majizo akaandika caption kwenye picha ya mtoto "wewe kwangu ni zaidi ya maji"
Juzi kaandika "wewe kwangu ni zaidi ya almasi"
Next mtoto akizaa na chidy Benz ataandika "wewe kwangu ni zaidi ya Benz "πŸ˜€πŸ˜€
 
Odemva namuona anacohangaika kwenye page za udaku zinazompinda Zari. Kwenye post za mange zote anazomtukana Zari odemba analike na kukoment. Anasahau kuwa jua limeshazama. Afu kwa mtu exposed kama yeye anakuaje mswazi jamni???!!
Atulie muda wake ushaisha bila shaka anakaribia kupata wajukuu make ni wa miaka mingi
 
Hzo ni mbinu za biashara,c dharau inatakiwa uchague alye kwenye chat kw wkat huo,tofautsha chuki na biashara
 
hahahaha halafu nasikia hata wanapo ishi majizo hutoa kodi....na mtoto ana muhudumia kila kitu tena kwa hali ya juu....
 
Well said...
 
East Africa ni moja kibiashara zari wifi wa taifa ao wakaa uchi mitandaoni na wanaopenda kupost picha wapo vitandani uchi acha waendelee na hizo drama wenye akili mnao sema wazee acha wale madili manono ya pesa afu tusipangiane maisha mpambane na hali zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…