Mkuu ukianzisha vita na hao ujue unaanzisha vita na serikali yakoNa watanunuwa wenyewe bidhaa zao hatupendi dharau siye.
Hawa shenzi GSM ndio wakwepa kodi wakubwa kupitia ile kampuni yao ya Home shopping center, sasa wamejifanya kuifunga ile wameibukia huku, tutawamulika hukohuko.
Uzalendo kwanza.
Mbona unanitukana mkuu,Katika watu wajinga na wewe jihesabu, Zari ameolewa na Mtanzania yupi?
Wamefunga ndoa lini na wapi?Mbona unanitukana mkuu,
Zari si kafunga ndoa na Diamondi, mtanzania mwenzetu, au sio mkuu.
Acha kitukana basi, sio vizuri mkuu.
Wamefunga ndoa mwaka huu 2017 hapa Daresalaam.Wamefunga ndoa lini na wapi?
Ile timu ya Ubelgiji ambayo Samatta anachezea inabid Wamebelgiji waifanyie boycott kwa nini haijachukua wachezaji wa kibelgiji inamcheza MtanzaniaHata Watanzania hatupangiwi pia, ila sababu kubwa ni idadi kubwa ya Watanzania washamba.
Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?
Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.
nenda waudumie wananchi wako jimboniNi hisia tu, kama wengine wanavyohisi hiyo account yako ni ya Josephine mama Junior.
ATAKACHOKIFANYA DIAMOND BAADA YA ZARI THE BOSS LADY KURUDI | BONGO